Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari

>Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda

Wapiganaji wa kiislamu wa Alshabab wamesema katika maneno yao kuwa linawashikilia mateka wa kivita kutoka Uganda waliowateka wakati wa mashambulizi ya wiki iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Askari magereza mbaroni kwa wizi

JESHI la Polisi Zanzibar linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo sawa na Magereza kwa Tanzania Bara kwa tuhuma za wizi wa sh 1,635,000 alizoiba kutoka katika duka moja lililopo eneo...

 

10 years ago

Habarileo

20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari

JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...

 

9 years ago

Mwananchi

Askari sita mbaroni kwa mauaji

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia askari sita na kumsaka mwingine kwa tuhuma za mauaji ya watuhumiwa wawili wa ujangili.

 

10 years ago

Habarileo

Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji

ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.

 

10 years ago

Habarileo

Wakenya 4 mbaroni kwa wizi wa magari

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence NgonyaniPOLISI Mkoa wa Kilimanjaro, inawashikilia wezi wanne wa magari akiwamo mwanamke mmoja wote raia wa Kenya, kwa tuhuma za wizi wa gari na kutaka kulificha nchini Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani