Askari sita mbaroni kwa mauaji
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia askari sita na kumsaka mwingine kwa tuhuma za mauaji ya watuhumiwa wawili wa ujangili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Jan
Askari wa Wanyamapori mbaroni kwa mauaji
ASKARI wanne wa Wanyamapori wameshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Simiyu kwa madai ya kufanya mauaji kwa kumpiga risasi mchungaji wa ng’ombe aliyeingia katika eneo la hifadhi ya wanyama ndani ya eneo tengefu la Maswa wilayani Meatu.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Askari magereza mbaroni kwa wizi
JESHI la Polisi Zanzibar linamshikilia askari wa Chuo cha Mafunzo sawa na Magereza kwa Tanzania Bara kwa tuhuma za wizi wa sh 1,635,000 alizoiba kutoka katika duka moja lililopo eneo...
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Mbaroni kwa tuhuma za kuua askari
JESHI la Polisi mkoani hapa, linawashikiliwa watu wawili wakazi wa Murubona Wilayani Kasulu kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili akiwemo askari. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jaffar Mohamed,...
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iad4jOhX0Z2ZrjeRCNNcJaQKsTGYNVxqYg2-yR4tGYqU9gFqezdvPboVpnwmH5qSVaj-cLBQbdKsYVPVUmkpgBf3tY*rOW9l/polisi.jpg?width=650)
MOROGORO: 20 MBARONI KWA KUMPIGA ASKARI POLISI
9 years ago
Habarileo06 Oct
Sita wa familia moja mbaroni kwa ugaidi
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu saba, wakiwemo sita wa familia moja kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ugaidi. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni muendelezo wa operesheni inayoendeshwa na Polisi Kanda hiyo pamoja na mikoa jirani ya kuwatafuta watuhumiwa wote waliojihusisha na matukio ya kupanga kuvamia vituo vya polisi, kuua askari na raia na kupora silaha.
10 years ago
Habarileo31 Aug
Askari wa JWTZ kizimbani kwa tuhuma za mauaji
ASKARI wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua Chacha Juma, mkazi wa Nzega Mjini.