Sita wa familia moja mbaroni kwa ugaidi
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu saba, wakiwemo sita wa familia moja kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ugaidi. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni muendelezo wa operesheni inayoendeshwa na Polisi Kanda hiyo pamoja na mikoa jirani ya kuwatafuta watuhumiwa wote waliojihusisha na matukio ya kupanga kuvamia vituo vya polisi, kuua askari na raia na kupora silaha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-oXwaCHOQje0/VNryTtNk56I/AAAAAAAHC_I/bQkZXz-nkT4/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
TBN WATOA UBANI KWA MWANAHABARI CONRAD MPILA ALIYEFIWA NA WATU SITA WA FAMILIA MOJA
![](http://1.bp.blogspot.com/-oXwaCHOQje0/VNryTtNk56I/AAAAAAAHC_I/bQkZXz-nkT4/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA DAR
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Sita washtakiwa kwa ugaidi Arusha
WATUHUMIWA sita wanaodaiwa kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Tradition jijini Arusha, Julai 7, mwaka huu, na kusababisha watu wanane kujeruhiwa huku mmoja wao akikatwa mguu, wamepandishwa kizimbani na kusomewa...
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Sita mahakamani kwa matukio ya ugaidi
Ulinzi waimarishwa, wake wapigwa ‘stop’
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
ALIYEKUWA Imamu wa Msikiti wa Quba, Arusha, Jafari Lema na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Arusha, wakikabiliwa na mashitaka manne ya ugaidi.
Katika mashitaka hayo, watuhumiwa wanadaiwa kuhusika na tukio la kulipua bomu katika mgahawa wa Vama na kuwajeruhi watu saba.
Mbali na Lema, washitakiwa wengine ni Shaaban Mmasa, Athumani Mmasa, Mohamed Nuru, Abdul Mohamed na Said Temba.
Wakili...
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Askari sita mbaroni kwa mauaji