SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi
>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5XPNW46hzfwV*Vxeu4FsXKb88EO2QwmkeTPvEJU5sTxgBbk-mmddZp*OB9mjIOlVmP9ZqXHmxXU4wD5YCYOov0/IMG20140801WA0008.jpg?width=650)
WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HgD4oQp9v00/U8ftRGe2g_I/AAAAAAAF3GQ/EIgRI3kZMKY/s72-c/001.jpg)
WATUHUMIWA 16 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-HgD4oQp9v00/U8ftRGe2g_I/AAAAAAAF3GQ/EIgRI3kZMKY/s1600/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-78yh5oGl4J4/U8ftRa7IBeI/AAAAAAAF3Gc/bxc_2cuRt54/s1600/002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9LqPSE_qCSE/U8ftRZDmT0I/AAAAAAAF3GU/c-H_iuvAcuY/s1600/003.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fMAZcSp7Kic/U8ftSsd1_kI/AAAAAAAF3Gg/Cgu9RkXdBRk/s1600/004.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5RgMyFN_bxY/U8ftTcKAWLI/AAAAAAAF3Go/ae7HEW5jBgY/s1600/005.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 Jul
Watu 17 Dar kizimbani kwa ugaidi
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/150.jpg)
WALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI, DAR
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Waliosambaza matokeo ya Urais kinyume cha sheria wapandishwa kizimbani Mahakama ya Kisutu jijini Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe...
9 years ago
MichuziWALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
CloudsFM25 Jul
WANAODAIWA KULISHAMBULIA GARI LA MAGEREZA KWA RISASI WAPANDISHWA KIZIMBANI
Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu.
Watuhumiwa hao, Peter Mushi (36) dereva na Godlisten Mongi (40) ambaye hati ya mashitaka imemtambulisha kwamba ni mhandisi, walipandishwa kizimbani jana kwa mashitaka ya kula njama, unyang’anyi wa kutumia silaha na shambulio la kudhuru mwili.
Wakili wa Serikali, Matarasa Alungo alidai mbele ya Hakimu Anipha...
10 years ago
CloudsFM07 Oct
WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KULAWITI NA KUSAMBAZA PICHA MTANDAONI
WASHITAKIWA wanaokabiliwa na mashitaka ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii, wamepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali ambapo walidaiwa kumlawiti mwanaume mwenzao na kumpiga picha kwa madai ya kutaka kulipwa Sh milioni moja.
Washitakiwa hao ni Erick Kasira (39) na Juma Richard (31) ambao wanadaiwa kulawiti sanjari na kupiga picha za tukio hilo.
Wakili wa Serikali Mutalemwa Kishenyi alidai mbele ya Hakimu Mfawidhi Said Mkasiwa kwamba Agosti 23 mwaka huu, maeneo ya...
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.