Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUHUMIWA 16 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16 walisomewa mashitaka.PICHA NA PHILEMON SOLOMON  Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi.Watuhumiwa wakiingia ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Watuhumiwa wakipelekwa maabusu baada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya watuhumiwa wa ugaidi wakiwa chini ya ulinzi katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo. Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa.…

 

11 years ago

CloudsFM

WANAODAIWA KULISHAMBULIA GARI LA MAGEREZA KWA RISASI WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la kushambulia gari la magereza kwa risasi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni wakikabiliwa na mashitaka matatu.
Watuhumiwa hao, Peter Mushi (36) dereva na Godlisten Mongi (40) ambaye hati ya mashitaka imemtambulisha kwamba ni mhandisi, walipandishwa kizimbani jana kwa mashitaka ya kula njama, unyang’anyi wa kutumia silaha na shambulio la kudhuru mwili.

Wakili wa Serikali, Matarasa Alungo alidai mbele ya Hakimu Anipha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa ugaidi Arusha kizimbani leo

WATUHUMIWA 19 waliokamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wakihusishwa na matukio mbalimbali yanayoashiria ugaidi, ikiwemo milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali, wanatarajiwa kupanda kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu...

 

11 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI

WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu Mkazi jijini Arusha, kujibu mashitaka 16 yakiwemo ya kuua kwa kutumia bomu,kutesa binadamu na kusajili vijana na kuwapeleka nje ya nchi kufanya ugaidi.
Watu hao walifikishwa mahakamani hapo leo na kusomemewa shitaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mustafa Siama ambapo hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na kile kilichoelezwa kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kusikiliza kesi hiyo.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kutenda tukio hilo Aprili...

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi

>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.

 

11 years ago

GPL

POLISI WANNE WAFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UHALIFU

Kamanda  wa kanda maalum ya Dar es salaam  Kamishina Suleman Kova akizungumza na wanahabari muda huu ofisini kwake juu ya kufukuzwa kwa askari hao. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewafukuza kazi kwa fedheha askari wanne wa Jeshi la Polisi kutokana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya uhalifu. Askari waliofukuzwa wanatoka katika vikosi mbalimbali kama ifuatavyo: 
E.6396 CPL RAJABU MKWENDA @ UGORO wa...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUMISHI NANE WA TRA WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka yao.

MAOFISA wanane wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akiwemo Kamishna wa Forodha wa mamlaka hiyo Tiagi Masamaki (56) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutoa makontena 329 bandarini bila ya kulipiwa kodi na kuisababishia Serikali hasara ya sh. bilioni 12.7 za kitanzania.
Ukimuondoa ...

 

5 years ago

Michuzi

Watuhumiwa watatu akiwemo raia wa Nigeria wa Dawa za kulevya wapadishwa kizimbani kisutu leo

WAFANYABIASHARA watatu akiwemo Raia mmoja wa Nigeria, David Chukwu 38 Mkazi wa Masaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni 150.

Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe 49 mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele 38 anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na mawakili wa serikali waandamizi , Veronika Matikila, na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanaodaiwa ‘Mbwa Mwitu’ kizimbani Dar

Wakazi sita wa Dar es Salaam maarufu Mbwa Mwitu au waanzilishi wa kundi la Watoto wa Mbwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani