Sita washtakiwa kwa ugaidi Arusha
WATUHUMIWA sita wanaodaiwa kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Tradition jijini Arusha, Julai 7, mwaka huu, na kusababisha watu wanane kujeruhiwa huku mmoja wao akikatwa mguu, wamepandishwa kizimbani na kusomewa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Sita mahakamani kwa matukio ya ugaidi
Ulinzi waimarishwa, wake wapigwa ‘stop’
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
ALIYEKUWA Imamu wa Msikiti wa Quba, Arusha, Jafari Lema na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Arusha, wakikabiliwa na mashitaka manne ya ugaidi.
Katika mashitaka hayo, watuhumiwa wanadaiwa kuhusika na tukio la kulipua bomu katika mgahawa wa Vama na kuwajeruhi watu saba.
Mbali na Lema, washitakiwa wengine ni Shaaban Mmasa, Athumani Mmasa, Mohamed Nuru, Abdul Mohamed na Said Temba.
Wakili...
9 years ago
Habarileo06 Oct
Sita wa familia moja mbaroni kwa ugaidi
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu saba, wakiwemo sita wa familia moja kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ugaidi. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni muendelezo wa operesheni inayoendeshwa na Polisi Kanda hiyo pamoja na mikoa jirani ya kuwatafuta watuhumiwa wote waliojihusisha na matukio ya kupanga kuvamia vituo vya polisi, kuua askari na raia na kupora silaha.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Washtakiwa wa Ugaidi wapangiwa hakimu mwingine
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Ndugu washtakiwa ugaidi wagonga mwamba
MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini hapa, imetupilia mbali ombi la dharura lililofunguliwa na jamaa wa watuhumiwa wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi katika mahakama za Tanzania Bara. Akisoma uamuzi huo, Jaji...
11 years ago
Habarileo07 Aug
Kiongozi wa Uamsho aunganishwa na washtakiwa 19 kesi ugaidi
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Kinara wa ugaidi auawa Arusha
JESHI la polisi Mkoa wa Arusha limemuua kwa kumpiga risasi mtuhumiwa wa ugaidi, Yahaya Hassan Omari Hela (31) ‘Yahaya Sensei’ mkazi wa Mianzini mjini hapa. Mtuhumiwa huyo alipigwa risasi ya...