Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washtakiwa wa Ugaidi wapangiwa hakimu mwingine

Kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu sasa kusikilizwa na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Hakimu ajitoa kesi ya ugaidi ya Shehe Farid

Shekhe Farid Hadi AhmedHAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ndugu washtakiwa ugaidi wagonga mwamba

MAHAKAMA Kuu ya Vuga mjini hapa, imetupilia mbali ombi la dharura lililofunguliwa na jamaa wa watuhumiwa wanaoshitakiwa kwa makosa ya ugaidi katika mahakama za Tanzania Bara. Akisoma uamuzi huo, Jaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sita washtakiwa kwa ugaidi Arusha

WATUHUMIWA sita wanaodaiwa kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Tradition jijini Arusha, Julai 7, mwaka huu, na kusababisha watu wanane kujeruhiwa huku mmoja wao akikatwa mguu, wamepandishwa kizimbani na kusomewa...

 

11 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Uamsho aunganishwa na washtakiwa 19 kesi ugaidi

Shekhe Farid Hadi AhmedKIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walalamikaji wamkataa hakimu

WALALAMIKAJI 12 waliokuwa wafanyakazi wa taasisi ya mikopo ya FINCA Tanzania Ltd, ambao walifukuzwa kazi Juni mwaka jana, wamemkataa Hakimu Yusuph Lumumba, anayesikiliza shauri la mgogoro huo dhidi ya taasisi hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Shahidi ‘amkaanga’ hakimu mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Buguruni, Grace Kivelege na Karani wake, Rose Kuhima ameiambia mahakama kuwa karani wa mahakama hiyo alizificha fedha alizopewa na mtoa taarifa nyuma ya kabati ndani ya ofisi yake.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aamuru mashitaka yarekebishwe

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan ameamuaru upande wa Jamhuri kurekebisha kasoro zilizopo kwenye hati ya mashtaka ambayo inawakabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba.

 

9 years ago

Habarileo

Hakimu mahakamani kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga imemfikisha mahakamani Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Isungang’holo iliyopo kijiji cha Gimagi kata ya Shaghila wilaya ya Kishapu kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani