Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakimu aamuru mashitaka yarekebishwe

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan ameamuaru upande wa Jamhuri kurekebisha kasoro zilizopo kwenye hati ya mashtaka ambayo inawakabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

DC aamuru Mkurugenzi Mtendaji kukamatwa

>Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela ameamuru kuwekwa mahabusu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Belva Consult Limited ya Dar es Salaam, Jones Lukaza kwa madai ya kuwasilisha hati feki za Benki ya NBC zenye thamani ya takriban Sh1.2 bilioni kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

 

10 years ago

BBCSwahili

Jaji aamuru Polisi awekwe mahabusu

Jaji wa mahakama ,Misri aamuru polisi aliyepelekwa mahamani hapo kwa tuhuma za kumua mwanamke mmoja mwanaharakati awekwe mahabusu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli aamuru Strabag kufungua barabara

WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya Strabag inayojenga Barabara ya Morogoro, kufungua barabara zilizokamilika  ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wanayokumbana nayo kila siku. Magufuli amemtaka mkurugenzi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

JK aamuru wahanga wapewa viwanja 400



Acharuka kwa kucheleweshwa kwa ahadi yake
Atoa siku saba, wananchi wapagawa kwa furaha
Na mwandishi wetuRAIS Jakaya Kikwete ameupa wiki moja uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kuwapatia viwanja vya kujenga nyumba wahanga wa mafuriko. Mafuriko hayo yalitokea miaka minne iliyopita mjini Kilosa, ambapo Rais Kikwete aliagiza wahanga kupewa viwanja. Alitoa agizo hilo wakati alipozungumza na wananchi wa Kilosa katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kilosa baada ya kutembelea wilaya...

 

9 years ago

Mwananchi

DC Geita aamuru mabweni ya wafanyakazi G4S yafungwe

Serikali mkoani Geita imeitaka kampuni ya ulinzi ya G4S kufunga mabweni yanayotumiwa na wafanyakazi, kwa kuwa yanahatarisha usalama wa afya zao.     

 

11 years ago

Mwananchi

JK aamuru polisi iwakamate walioiba fedha za tumbaku

Rais Jakaya Kikwete ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata wezi wa fedha za wakulima wa tumbaku mkoani Tabora kwa kuwafikisha mahakamani haraka iwezekanavyo.

 

10 years ago

GPL

DK MWAKYEMBE AAMURU KUFUNGIWA MABASI YALIYOSABABISHA AJALI MARA

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe (Picha na Maktaba). Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya  J4 Express  na  Mwanza Coach yafungiwe mara moja. Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu muda mfupi uliopita, Dk Mwakayembe amesema sehemu iliyotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 39  na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ni sehemu ambayo kila dereva alikuwa akimuona mwenzake,...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Asomewa mashitaka wodini


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani