Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aamuru wahanga wapewa viwanja 400



Acharuka kwa kucheleweshwa kwa ahadi yake
Atoa siku saba, wananchi wapagawa kwa furaha
Na mwandishi wetuRAIS Jakaya Kikwete ameupa wiki moja uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kuwapatia viwanja vya kujenga nyumba wahanga wa mafuriko. Mafuriko hayo yalitokea miaka minne iliyopita mjini Kilosa, ambapo Rais Kikwete aliagiza wahanga kupewa viwanja. Alitoa agizo hilo wakati alipozungumza na wananchi wa Kilosa katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kilosa baada ya kutembelea wilaya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wahanga wa Viwanja Kilosa kumwona JK

SAM_1377

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa wilayani Kilosa mkoani Morogoro hivi karibuni.

Na Mwandishi wetu

KAULI ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa hivi karibuni kwa uongozi wa Wilaya ya Kilosa mkoani humo kuhakikisha wamepima viwanja ndani ya wiki moja kuwagawia wahanga wa mafuriko na kuwasaidia ujenzi, limepuuzwa na kusababisha wahanga hao kukusudia kuonana naye.

Hata hivyo, uongozi wa Halmashauri akiwemo Mkurugenzi, Idd Mshili na Mwenyekiti, Ameir...

 

9 years ago

Mwananchi

Bodaboda 400 wapewa mafunzo ya udereva

Babati. Waendesha bodaboda 425 wa Kata ya Endakiso wilayani Babati Mkoa wa Manyara wamekabidhiwa leseni na vyeti vya kuhitimu mafunzo ya udereva katika Taasisi ya Ant Poverty Enviromental Care (APEC).

 

10 years ago

Habarileo

Wanaovamia viwanja wapewa onyo

na kuendeleza viwanja visivyokuwa vyao, wametakiwa kuacha tabia hiyo na kwamba Serikali haitasita kubomoa ujenzi wowote uliofanywa katika mazingira hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aamuru mashitaka yarekebishwe

HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan ameamuaru upande wa Jamhuri kurekebisha kasoro zilizopo kwenye hati ya mashtaka ambayo inawakabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba.

 

11 years ago

Mwananchi

DC aamuru Mkurugenzi Mtendaji kukamatwa

>Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela ameamuru kuwekwa mahabusu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Belva Consult Limited ya Dar es Salaam, Jones Lukaza kwa madai ya kuwasilisha hati feki za Benki ya NBC zenye thamani ya takriban Sh1.2 bilioni kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

 

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli aamuru Strabag kufungua barabara

WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya Strabag inayojenga Barabara ya Morogoro, kufungua barabara zilizokamilika  ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wanayokumbana nayo kila siku. Magufuli amemtaka mkurugenzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jaji aamuru Polisi awekwe mahabusu

Jaji wa mahakama ,Misri aamuru polisi aliyepelekwa mahamani hapo kwa tuhuma za kumua mwanamke mmoja mwanaharakati awekwe mahabusu.

 

9 years ago

Mwananchi

DC Geita aamuru mabweni ya wafanyakazi G4S yafungwe

Serikali mkoani Geita imeitaka kampuni ya ulinzi ya G4S kufunga mabweni yanayotumiwa na wafanyakazi, kwa kuwa yanahatarisha usalama wa afya zao.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani