Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC aamuru Mkurugenzi Mtendaji kukamatwa

>Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela ameamuru kuwekwa mahabusu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Belva Consult Limited ya Dar es Salaam, Jones Lukaza kwa madai ya kuwasilisha hati feki za Benki ya NBC zenye thamani ya takriban Sh1.2 bilioni kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR


Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akifanya kikao nyumbani kwake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), BW. Nehemiah Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ujenzi ya DAMAC ya Dubai, Bw. Sonil Vohor.Kampuni ya DAMAC imekubali kuingia ubia na NHC kwenye ujenzi wa nyumba za makazi na biashara, na hotel za nyota tano na kiwanja cha golf.Mwezi huu Julai tarehe 17, DAMAC walifanya ziara Tanzania kupata taarifa muhimu (fact finding mission). Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tibazarwa Mkurugenzi Mtendaji NBC

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imemtangaza Pius Tibazarwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa muda kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Tibazarwa anachukua nafasi ya Mizinga Melu aliyeteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

NMB yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NMB, Profesa Joseph SembojaBODI ya benki ya NMB imemtangaza Ineke Bussemaker kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Mark Wiessing kukubali nafasi mpya ndani ya benki ya Rabobank, kama mkuu wa benki hiyo upande wa Amerika Kusini na Mkurugenzi Mtendaji Brazil.

 

10 years ago

Dewji Blog

Edwin Ngonyani Mkurugenzi Mtendaji mpya wa STAMICO

Mkurugenzi2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mhandisi Edwin Amandus Ngonyani kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico). Uteuzi huo umeanza Jumapili iliyopita, Juni 28, 2015.

Taarifa ya kuthibitisha uteuzi huo iliyotolewa Ikulu, Dar es salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) leo, Jumanne, Juni 30, 2015, inasema kuwa kabla ya uteuzi  wake Mhandisi Ngonyani alikuwa Mkaguzi Mkuu wa Migodi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Stamico.

Mhandisi...

 

10 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Aisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akiongea na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati […]

 

9 years ago

Michuzi

TUMIENI TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO-MKURUGENZI MTENDAJI WA TaGLA


Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Umma Bw.Peter Mushi (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akiendesha mkutano kwa njia ya video na Sekretarieti ya Mkoa wa Mara jana jijini Dar es Salaam (watatu kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Umma Bw. Leonard Mchau .Baadhi ya watendaji kutoka wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiendelea na Mkutano kwa njia ya Video na Sektertarieti za Mikoa ya Lindi,Mara,Geita,Singida na...

 

10 years ago

Michuzi

DK. Shein akutana na Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya NBC leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Ms Mzimga Melu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Benki ya Taifa ya Biashara ya NBC unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ms Mzimga Melu (wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC TANZANIA YAPATA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA.

 Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein. Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotambulishwa rasmi na viongozi wa bodi ya benki hiyo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Muda wa Bodi ya NBC,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani