Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUMIENI TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO-MKURUGENZI MTENDAJI WA TaGLA


Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Umma Bw.Peter Mushi (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akiendesha mkutano kwa njia ya video na Sekretarieti ya Mkoa wa Mara jana jijini Dar es Salaam (watatu kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Umma Bw. Leonard Mchau .Baadhi ya watendaji kutoka wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiendelea na Mkutano kwa njia ya Video na Sektertarieti za Mikoa ya Lindi,Mara,Geita,Singida na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR


Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akifanya kikao nyumbani kwake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), BW. Nehemiah Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ujenzi ya DAMAC ya Dubai, Bw. Sonil Vohor.Kampuni ya DAMAC imekubali kuingia ubia na NHC kwenye ujenzi wa nyumba za makazi na biashara, na hotel za nyota tano na kiwanja cha golf.Mwezi huu Julai tarehe 17, DAMAC walifanya ziara Tanzania kupata taarifa muhimu (fact finding mission). Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

GPL

CHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA‏

Watumiaji wa teknolojia ya interneti nchini wametakiwa kutumia teknolojia hii kutafuta taarifa mbalimbali za maarifa na zenye  mwelekeo wa kuleta maendeleo badala ya kutumia teknolojia hii kutafuta taarifa zisizo na faida na zenye mwelekeo wa kupotosha kizazi cha sasa kimaadili. Wito huu umetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia,katika siku ya matumizi ya interneti duniani...

 

10 years ago

Michuzi

CHONDE CHONDE WATUMIAJI WA INTERNETI TUMIENI TEKNOLOJIA HII KUPATA MAARIFA-VODACOM TANZANIA

Watumiaji wa teknolojia ya interneti nchini wametakiwa kutumia teknolojia hii kutafuta taarifa mbalimbali za maarifa na zenye  mwelekeo wa kuleta maendeleo badala ya kutumia teknolojia hii kutafuta taarifa zisizo na faida na zenye mwelekeo wa kupotosha kizazi cha sasa kimaadili.Wito huu umetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia,katika siku ya matumizi ya interneti duniani iliyoadhimishwa leo duniani kote ambako alisema kuwa Vodacom kama...

 

11 years ago

Mwananchi

DC aamuru Mkurugenzi Mtendaji kukamatwa

>Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela ameamuru kuwekwa mahabusu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Belva Consult Limited ya Dar es Salaam, Jones Lukaza kwa madai ya kuwasilisha hati feki za Benki ya NBC zenye thamani ya takriban Sh1.2 bilioni kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tibazarwa Mkurugenzi Mtendaji NBC

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imemtangaza Pius Tibazarwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa muda kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Tibazarwa anachukua nafasi ya Mizinga Melu aliyeteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa...

 

10 years ago

Habarileo

NMB yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NMB, Profesa Joseph SembojaBODI ya benki ya NMB imemtangaza Ineke Bussemaker kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji, Mark Wiessing kukubali nafasi mpya ndani ya benki ya Rabobank, kama mkuu wa benki hiyo upande wa Amerika Kusini na Mkurugenzi Mtendaji Brazil.

 

10 years ago

Bongo5

Vodacom Tanzania yapata Mkurugenzi Mtendaji mpya

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania Limited leo imemtangaza Mkurugenzi wake mpya Ian Ferrao anayechukua nafasi ya Mkurugenzi anayeondoka Rene Meza ambaye hivi karibinu aliteuliwa kuwa Aisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Ooredoo Myanmar kuanzia mapema mwezi ujao. Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akiongea na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani