Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asomewa mashitaka wodini


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Asomewa mashitaka ya ugaidi hospitali

MTUHUMIWA wa ugaidi na anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga kundi la Al- Shabaab la Somalia, Abdulkarimu Thabiti Hasia, amesomewa mashitaka hospitalini jijini Arusha baada ya kupata fahamu.

 

11 years ago

GPL

‘BIBI WA MADAWA MNIGERIA’ ASOMEWA MASHITAKA KISUTU

Mtuhumiwa alipofikishwa mahakamani hapo. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemsomea mashtaka raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (64) ya tuhuma za kukamatwa na madawa ya kulevya gramu 831.94 zenye thamani ya shilingi za Kitanzania milioni 37.4. Mwendesha Mashtaka, Jackson Chidunda, alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,  Frank Mushi,  kuwa mshtakiwa anakabiliwa na tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asomewa shtaka kitandani

DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour asomewa mashtaka matatu

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yusuph Himid amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu ya kupatikana na bunduki na risasi 407 kinyume na Sheria namba 2 ya 1991 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Asomewa shtaka, augua ghafla

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kushawishi wafuasi wake kutenda kosa la jinai.

 

9 years ago

Mwananchi

Mchungaji Msigwa kizimbani, asomewa mashtaka

Mgombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mchungaji Peter Msigwa na watu wengine watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Iringa leo na kusomewa mashtaka manne, ikiwemo la uvunjivu wa amani.

 

11 years ago

GPL

TIMBWILI WODINI

Stori: Dustan Shekidele,Morogoro Timbwili! Katika hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini anadaiwa kukata roho huku dokta akizichapa kavukavu na wagonjwa, Ijumaa Wikienda limenasa kisa cha ajabu. Mwili wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu.
Akiwa mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu alivutiwa waya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani

Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.

 

9 years ago

Mwananchi

Diwani Bukoba asomewa mashtaka akiwa Hospitali

Diwani mteule wa Kata ya Kagondo Manispaa ya Bukoba(NCCR Mageuzi)Dokta Anatory Amani amesomewa mashitaka matatu yanayohusiana na kuingilia taratibu za uchaguzi huku akiwa amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kagera.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani