Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘BIBI WA MADAWA MNIGERIA’ ASOMEWA MASHITAKA KISUTU

Mtuhumiwa alipofikishwa mahakamani hapo. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemsomea mashtaka raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (64) ya tuhuma za kukamatwa na madawa ya kulevya gramu 831.94 zenye thamani ya shilingi za Kitanzania milioni 37.4. Mwendesha Mashtaka, Jackson Chidunda, alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo,  Frank Mushi,  kuwa mshtakiwa anakabiliwa na tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Asomewa mashitaka wodini


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...

 

11 years ago

Habarileo

Asomewa mashitaka ya ugaidi hospitali

MTUHUMIWA wa ugaidi na anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga kundi la Al- Shabaab la Somalia, Abdulkarimu Thabiti Hasia, amesomewa mashitaka hospitalini jijini Arusha baada ya kupata fahamu.

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani

Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.

 

11 years ago

GPL

BIBI WA MADAWA YA KULEVYA AISHANGAZA SERIKALI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
KAMA ulisikia au kusoma habari ya bibi wa miaka 65, Olabis Abidun Cole, raia wa Nigeria (pichani) aliyekamatwa na madawa ya kulevya hivi karibuni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, stori hii yenye mapya haitakiwi kukupita. Bibi Olabis Abidun Cole akipandishwa kizimbani. Bi.Cole ambaye alikamatwa na kete 82 za madawa aina ya Heroine na Askari wa Kikosi ...

 

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

11 years ago

GPL

BIBI ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA AANGUA KILIO MAHAKAMANI

Bibi wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole akipelekwa mahakamani. BIBI wa Kinigeria, Olabisi Ibidun Cole (65), leo ameangua kilio katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ers Salaam wakati akipelekwa kizimbani kwa ajili ya kusomewa kesi yake ya kunaswa na madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 37. Hakimu aliyepelekewa kesi hiyo, Frank Mushi, aliiahirisha kesi hiyo mpaka kesho ili bibi huyo ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Mansour asomewa mashtaka matatu

>Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yusuph Himid amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu ya kupatikana na bunduki na risasi 407 kinyume na Sheria namba 2 ya 1991 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asomewa shtaka kitandani

DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...

 

10 years ago

Mwananchi

Asomewa shtaka, augua ghafla

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kushawishi wafuasi wake kutenda kosa la jinai.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani