TIMBWILI WODINI
![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi3LtFCCfKWwAogl6xA1LzliGHUCNpt6lAdx5PaIIRjGs7gC5JgkZetr80qtCV2wxWqP8KWOF111oW4LegUAtRTR/timbiliwodini.jpg)
Stori: Dustan Shekidele,Morogoro Timbwili! Katika hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini anadaiwa kukata roho huku dokta akizichapa kavukavu na wagonjwa, Ijumaa Wikienda limenasa kisa cha ajabu. Mwili wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu. Akiwa mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu alivutiwa waya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Asomewa mashitaka wodini
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pLu1zsKhK*Pa4fSS07MKQIzGviECZyZFMQ38TcB9YoyYHC0m8SWJPPdB3f3kcNsH*ntTlR9LYUzliPgrsXYNA5r/mgonjwa.gif)
MGONJWA AMUUA MWENZAKE WODINI
10 years ago
Habarileo14 Nov
Rais Kikwete atoka wodini
RAIS Jakaya Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalumu, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.
10 years ago
Tanzania Daima13 Aug
CCM wasaka kura ya mjumbe wodini
JITIHADA za Kamati za Bunge Maalum la Katiba, kupata uungwaji mkono wa ibara walizozijadili, jana ziliilazimisha kamati namba 12 kumfuata mjumbe wake wodini apige kura. Mjumbe huyo ni Thomas Mgori,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuODjBO6Ur5tQvUxUwWX-GbzkaYQ5UTSPXAQRBfnqKw9aHgXHO4QWjpqivU4SggHtfAnTXgemIv*55eME3-Umab/vicky.jpg)
WAPAMBE WAMFUATA VICKY KAMATA WODINI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JWVmD*3ooUeqp2Fn5589KiIbV3Ye5Hr-dHJWO9EqozHt7XfoExsz9yQTkYa9BO5dOKiXgTxtMznni84cNIDnJPiM2NTkvJUb/tt.jpg)
TIMBWILI MSIBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfCDVC4TBwAPRNU4FgE8c-SDqwQfach4fL7u2ELCq*Wsbw5EZXVxY7*mh7Gkmn*8rVpSUQSyNEdjfh52JsN*s8Ok/timbwili.jpg)
TIMBWILI GESTI!
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Mjumbe Bunge la Katiba apigia kura wodini
![Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/mjumbe-hospitalini.jpg)
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli
NA ESTHER MBUSSI, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba aliyepigwa na watu wasiojulikana, Thomas Mgoli, amepiga kura akiwa wodini katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alikolazwa.
Mgoli alipiga kura jana akiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba 12, Thuwaibay Kissassi.
Alipiga kura ya wazi kwa kuzipigia kura ya ndiyo sura ya pili hadi ya tano isipokuwa ibara ya 59.
Akizungumza baada ya kupiga kura, ni...
10 years ago
CloudsFM14 Nov
RAIS KIKWETE ATOKA WODINI, AENDELEA VIZURI
Rais Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.
Rais Kikwete alifanyiwa upasuaji wa tezi dume wiki iliyopita na afya yake imekuwa ikiimarika siku hadi siku.
Makundi mbalimbali ya wananchi yamekuwa yakimtakia uponaji wa haraka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu. Miongoni mwa waliomtakia afya njema ni familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ambayo imeeleza kupokea kwa...