MGONJWA AMUUA MWENZAKE WODINI
![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pLu1zsKhK*Pa4fSS07MKQIzGviECZyZFMQ38TcB9YoyYHC0m8SWJPPdB3f3kcNsH*ntTlR9LYUzliPgrsXYNA5r/mgonjwa.gif)
Joseph Ngilisho, Arusha MAAJABU! Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa aliyelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, akisumbuliwa na maradhi ya mguu, Hashimu Mohammed Mollel (28), (pichani) mkazi wa Lemala, Arusha amemuua mgonjwa mwenzake aliyelazwa naye, Lazaro Mollel (75) kwa kumpiga na chuma cha kutundikia dripu. Mgonjwa Hashimu Mohammed Mollel (28) anayetuhumiwa kumuua mgonjwa mwenzake, Lazaro Mollel (75) aliyelazwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Mchango wa harusi unapodaiwa hadi kwa mgonjwa wodini!
KATIKA moja ya makala zangu za miaka kadhaa iliyopita, niliandika makala kama hii kutokana na kisa kilichomtokea mmoja wa wasomaji wa gazeti hili nayeishi jijini Arusha. Kutokana na kisa kinachoshabihiana...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Amuua utingo mwenzake
MKAZI wa Temeke, Abdallah Killiah, ambaye ni Utingo, amefariki dunia baada ya kugongwa na gari la mizigo lililokuwa likiendeshwa na utingo baada ya dereva wake kuliacha na kufuatilia kontena kwenye...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Amuua mwenzake wakigombea sigara
11 years ago
Habarileo18 Feb
Amuua mwenzake wakigombea 10,000/-
MKAZI wa Kijiji cha Nyangoto Nyamongo Tarafa ya Ingwe Tarime mkoani Mara, Mwita Samson (23) ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na Munyaru Waigama katika ugomvi wa kugombea Sh 10,000.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0ntWI8hR2Fq*F4UFbsAER*Bt7KbSyb6Blg2gRKZrvTGdR0V-rNVm3iPl7gAkNBT0JffVREB5ONi2RR*DgJJX0Qo/bodaboda.jpg)
BODABODA AMCHOMA VISU MWENZAKE, AMUUA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi3LtFCCfKWwAogl6xA1LzliGHUCNpt6lAdx5PaIIRjGs7gC5JgkZetr80qtCV2wxWqP8KWOF111oW4LegUAtRTR/timbiliwodini.jpg)
TIMBWILI WODINI
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Asomewa mashitaka wodini
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Rais Kikwete atoka wodini
RAIS Jakaya Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalumu, ambako anaendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.
10 years ago
Tanzania Daima13 Aug
CCM wasaka kura ya mjumbe wodini
JITIHADA za Kamati za Bunge Maalum la Katiba, kupata uungwaji mkono wa ibara walizozijadili, jana ziliilazimisha kamati namba 12 kumfuata mjumbe wake wodini apige kura. Mjumbe huyo ni Thomas Mgori,...