DK MWAKYEMBE AAMURU KUFUNGIWA MABASI YALIYOSABABISHA AJALI MARA
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe (Picha na Maktaba). Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yafungiwe mara moja. Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu muda mfupi uliopita, Dk Mwakayembe amesema sehemu iliyotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 39 na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ni sehemu ambayo kila dereva alikuwa akimuona mwenzake,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA ENEO LA AJALI YA MABASI MUSOMA, AWAJULIA HALI MAJERUHI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6vSA_IzIFu4/VAwaLS9o9xI/AAAAAAAGgyg/EsQWrUtV_LE/s72-c/unnamed.jpg)
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS JAKAYA M.KIKWETE NA WAZIRI WA UCHUKUZI MHE MWAKYEMBE NA MKUU WA MKOA WA MARA KWA AJALI MBAYA YA BASI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 40
![](http://2.bp.blogspot.com/-6vSA_IzIFu4/VAwaLS9o9xI/AAAAAAAGgyg/EsQWrUtV_LE/s1600/unnamed.jpg)
Chama cha Ujenzi wa Taifa cha NRA ,(National Reconstruction Alliance); kinatoa salamu za pole/rambirambi kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Jakaya Kikwete, Waziri za Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mara na Wafiwa kwa ajali mbaya ya Basi iliyopelekea kupotea kwa maisha ya watanzania zaidi ya 40, akiongea kwa njia ya simu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani kigoma Naibu KATIBU MKUU NA KATIBU MKUU wa BODI ya chama Mhe Hassan Kisabya (pichani) , ametoa salamu hizo kwa niaba ya Chama...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s72-c/vichura.jpeg)
JPM APIGA SIMU, AAMURU ASKARI WA SUMA JKT WANAOPIGISHA VICHURACHURA WANANCHI STENDI MPYA YA DODOMA WAONDOLEWE MARA MOJA
![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s400/vichura.jpeg)
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi
5 years ago
Bongo514 Feb
Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1
Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.
Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.
Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
10 years ago
Habarileo15 Sep
Mwakyembe aunda Kamati ya Ajali
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameunda Kamati Maalumu iliyopewa kazi ya kuchunguza mambo mbalimbali ambayo yatasaidia kupunguza ajali za barabarani.
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Ajali sasa zaangamiza maelfu - Mwakyembe
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dU4V2KEq3GI/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Ajali za mabasi zaua 10
AMINA OMARI NA OSCAR ASSENGA, HANDENI
WATU 10 wamefariki dunia papo hapo na wengine 35 wamejeruhiwa baada ya mabasi mawili ya abiria na gari dogo kugongana.
Kati ya majeruhi hao, saba hali zao ni mbaya na walikimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Handeni kutoka Kituo cha Afya Mkata walikokuwa wakitibiwa.
Ajali hiyo ilitokea jana mchana katika Kijiji cha Mbweni kilichopo Mkata, Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma...