Ajali sasa zaangamiza maelfu - Mwakyembe
 Jumla ya watu 1,126 wamepoteza maisha kwa ajali za barabarani katika kipindi cha miezi mitatu, huku kukiwa na majeruhi 3,827 kati ya ajali 3,338 zilizotokea katika maeneo tofauti nchini
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi
Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.
10 years ago
Habarileo15 Sep
Mwakyembe aunda Kamati ya Ajali
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameunda Kamati Maalumu iliyopewa kazi ya kuchunguza mambo mbalimbali ambayo yatasaidia kupunguza ajali za barabarani.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Makunga, Kilimwiko sasa wamshangaa Mwakyembe
>Mwandishi wa habari mkongwe nchini, Theophil Makunga, ameelezea kushangazwa kwake na kauli ya Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kwamba waandishi wasiingie na kuandika habari kuhusu vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba kwa madai mchakato wa kutunga Katiba ni sawa na vita.
10 years ago
GPLDK MWAKYEMBE AAMURU KUFUNGIWA MABASI YALIYOSABABISHA AJALI MARA
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe (Picha na Maktaba). Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yafungiwe mara moja. Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu muda mfupi uliopita, Dk Mwakayembe amesema sehemu iliyotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 39 na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ni sehemu ambayo kila dereva alikuwa akimuona mwenzake,...
10 years ago
GPLWAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA ENEO LA AJALI YA MABASI MUSOMA, AWAJULIA HALI MAJERUHI
Waziri wa Uchukuzi, Dkt Haririson Mwakyembe akiwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Mohamed Mpinga, wakiangalia gari la Mwanza Coach walipotembelea eneoe la ajali jana.…
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Ajira zaangamiza taifa letu
Mara nyingi watu wa kada mbalimbali wamezungumzia tatizo la ajira nchini, lakini baadhi ya viongozi wa Serikali huwakejeli na kudai kuwa hawana hoja za msingi.
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO
Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Waliokufa ajali ya basi Mafinga sasa wafikia 50
Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Basi la Majinjah imeongezeka na kufikia 50. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza alisema maiti zilizotambuliwa na zile zilizobakia, walipohesabu waligundua idadi yao kufikia 50.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-6vSA_IzIFu4/VAwaLS9o9xI/AAAAAAAGgyg/EsQWrUtV_LE/s72-c/unnamed.jpg)
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS JAKAYA M.KIKWETE NA WAZIRI WA UCHUKUZI MHE MWAKYEMBE NA MKUU WA MKOA WA MARA KWA AJALI MBAYA YA BASI ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA ZAIDI YA 40
![](http://2.bp.blogspot.com/-6vSA_IzIFu4/VAwaLS9o9xI/AAAAAAAGgyg/EsQWrUtV_LE/s1600/unnamed.jpg)
Chama cha Ujenzi wa Taifa cha NRA ,(National Reconstruction Alliance); kinatoa salamu za pole/rambirambi kwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Jakaya Kikwete, Waziri za Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mara na Wafiwa kwa ajali mbaya ya Basi iliyopelekea kupotea kwa maisha ya watanzania zaidi ya 40, akiongea kwa njia ya simu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani kigoma Naibu KATIBU MKUU NA KATIBU MKUU wa BODI ya chama Mhe Hassan Kisabya (pichani) , ametoa salamu hizo kwa niaba ya Chama...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania