Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JPM APIGA SIMU, AAMURU ASKARI WA SUMA JKT WANAOPIGISHA VICHURACHURA WANANCHI STENDI MPYA YA DODOMA WAONDOLEWE MARA MOJA

 “Suma JKT wanafanya kazi nzuri hawajaanzia stendi ya Dodoma, wapo pale Feri DSM, Mwanza hatujaona Watu wakipigishwa vichurachura, wanaofanya hivyo waondolewe mara moja, wabaki maaskari wanaowahudumia watu, sitaki watu wangu warushwe vichura kwenye nchi ya amani”-JPM Live kwa Simu
Wananchi wakiingia na wengine kutoka katika Stendi mpya ya Kisasa ya Dodoma

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO STENDI MPYA YA MABASI DODOMA,AKATAZA WAPIGA DEBE,SUMA JKT KUPIGISHA RAIA VICHURA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli ametoa maelekezo kadhaa kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kuhusu Stendi Kuu ya mabasi ya jijini humo yakiwemo ya kuhakikisha wajasiriamali wadogo,Mama Lishe, waendesha bodaboda na daladala kufika kituoni hapo bila kusumbuliwa.

Pia ametoa maelekezo ya askari wa Suma JKT wenye tabia ya kupigisha watu vichura kuacha mara moja, kwani hayuko tayari kuona Watanzania waliohuru kwenye nchi wakirushwa vichura na ametumia nafasi hiyo kumwambia Mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-PID na SUMA JKT kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma

2015-06-26 15.13.03Mtendaji Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu Lt-Colonel, Felix Samillan baada ya kutiliana saini ya mkataba wa kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma mradi unaotarajiwa kujengwa Chalinze
Na Mwandishi WetuTaasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) kwa kushirikiana na Taasisi ya SUMA JKT imesainiana mkataba wa makubaliano wa ujenzi wa nyumba za kisasa za kuuza kwa...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI APIGA KAMPENI SINGIDA, DODOMA MPAKA MANYARA KWA SIKU MOJA

Magufuli akimpa pole Padre Dk. Kitima na familia yake kwa kifo cha mdogo wake. Magufuli akiliombea kaburi la marehemu. ...Magufuli baada ya kutoka kuhani msiba wa mdogo wa Padre Kitima.…

 

11 years ago

Michuzi

STAMICO yaipongeza SUMA JKT

Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Uzalishaji Mali  la Jeshi la Kujenga Taifa,  SUMA JKT, limepongezwa kwa juhudi zake katika kuhakikisha ulinzi unaimarika katika maeneo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo Biharamulo Kagera.
Mgodi huo kwa sasa umekabidhiwa kwa serikali ambapo unaendeshwa chini ya shirika la madini la STAMICO.
Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  wa STAMICO,  Rumisha Kimambo katika kikao kilichojumuisha Bodi yake na uongozi wa mgodi wa huo kilichofanyika...

 

11 years ago

Mwananchi

Vigogo Suma JKT huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru vigogo saba wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT) baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka saba yaliyokuwa yakiwakabili ya kula njama na matumizi mabaya ya madaraka.

 

10 years ago

GPL

DK MWAKYEMBE AAMURU KUFUNGIWA MABASI YALIYOSABABISHA AJALI MARA

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe (Picha na Maktaba). Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya  J4 Express  na  Mwanza Coach yafungiwe mara moja. Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu muda mfupi uliopita, Dk Mwakayembe amesema sehemu iliyotokea ajali na kusababisha vifo vya watu 39  na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ni sehemu ambayo kila dereva alikuwa akimuona mwenzake,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo Suma JKT waigalagaza serikali

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwachiria huru Mkurugenzi wa Shirika la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), Kanali Ayoub Mwakang’ata na maofisa wenzake sita waliokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani