Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo Suma JKT huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru vigogo saba wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (Suma JKT) baada ya kuwaona hawana hatia katika mashtaka saba yaliyokuwa yakiwakabili ya kula njama na matumizi mabaya ya madaraka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Vigogo Suma JKT waachiwa huru

VIGOGO saba wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vigogo Suma JKT waigalagaza serikali

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwachiria huru Mkurugenzi wa Shirika la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), Kanali Ayoub Mwakang’ata na maofisa wenzake sita waliokuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya vigogo Suma JKT yanguruma

MEJA Jenerali, Dk Adam Mwamulange ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), lilipewa jukumu la kununua vifaa vya Kampuni ya Takopa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Msata hadi Bagamoyo.

 

11 years ago

Habarileo

Hatima ya vigogo SUMA JKT kesho

HATIMA ya vigogo wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) itajulikana kesho wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la. Endapo washitakiwa watapatikana na kesi ya kujibu watatakiwa kupanda kizimbani kujitetea na kama hawana kesi ya kujibu wataachiwa huru.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Vigogo wa Suma-JKT wana kesi ya kujibu’

Vigogo saba wa Suma-JKT wanaokabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wamepatikana kuwa na kesi ya kujibu na kutakiwa kuanza kutoa ushahidi wao wa utetea Machi 11 na 14 mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

STAMICO yaipongeza SUMA JKT

Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Uzalishaji Mali  la Jeshi la Kujenga Taifa,  SUMA JKT, limepongezwa kwa juhudi zake katika kuhakikisha ulinzi unaimarika katika maeneo ya mgodi wa STAMIGOLD uliopo Biharamulo Kagera.
Mgodi huo kwa sasa umekabidhiwa kwa serikali ambapo unaendeshwa chini ya shirika la madini la STAMICO.
Pongezi hizo zilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  wa STAMICO,  Rumisha Kimambo katika kikao kilichojumuisha Bodi yake na uongozi wa mgodi wa huo kilichofanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Suma JKT yashika kasi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Washitakiwa kesi ya Suma JKT watetewa

BRIGEDIA Jenerali wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Adamu Mwabulanga (62), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa Shirika la Suma JKT ndilo lilipewa mamlaka ya  kununua ...

 

11 years ago

Daily News

Court acquits Suma JKT officers


Court acquits Suma JKT officers
Daily News
THE Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam acquitted all seven senior army officials from Suma JKT, who were charged with abuse of office during execution of a contract for construction of Msata-Bagamoyo Road. Senior Resident Magistrate ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani