‘Vigogo wa Suma-JKT wana kesi ya kujibu’
Vigogo saba wa Suma-JKT wanaokabiliwa na mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wamepatikana kuwa na kesi ya kujibu na kutakiwa kuanza kutoa ushahidi wao wa utetea Machi 11 na 14 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kesi ya vigogo Suma JKT yanguruma
MEJA Jenerali, Dk Adam Mwamulange ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), lilipewa jukumu la kununua vifaa vya Kampuni ya Takopa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Msata hadi Bagamoyo.
10 years ago
Mwananchi19 May
Watoto wa vigogo BoT wana kesi ya kujibu
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Vigogo Suma JKT huru
11 years ago
Habarileo24 Apr
Vigogo Suma JKT waachiwa huru
VIGOGO saba wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Vigogo Suma JKT waigalagaza serikali
HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwachiria huru Mkurugenzi wa Shirika la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), Kanali Ayoub Mwakang’ata na maofisa wenzake sita waliokuwa...
11 years ago
Habarileo04 Feb
Hatima ya vigogo SUMA JKT kesho
HATIMA ya vigogo wa Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) itajulikana kesho wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la. Endapo washitakiwa watapatikana na kesi ya kujibu watatakiwa kupanda kizimbani kujitetea na kama hawana kesi ya kujibu wataachiwa huru.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Washtakiwa EPA wana kesi ya kujibu’
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Kesi ya Suma JKT yashika kasi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Washitakiwa kesi ya Suma JKT watetewa
BRIGEDIA Jenerali wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Adamu Mwabulanga (62), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa Shirika la Suma JKT ndilo lilipewa mamlaka ya kununua ...