Watoto wa vigogo BoT wana kesi ya kujibu
>Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaona wafanyakazi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti na kutoa hati za uongo wana kesi ya kujibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania19 May
‘Wanaodaiwa kughushi vyeti BoT wana kesi ya kujibu’
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAFANYAKAZI wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne wamekutwa wana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa mashtaka na kuona kwamba kuna haja kwa washtakiwa kujitetea.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beata Massawe, Jackline Juma,
Philimina...
11 years ago
Mwananchi06 Feb
‘Vigogo wa Suma-JKT wana kesi ya kujibu’
11 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Washtakiwa EPA wana kesi ya kujibu’
10 years ago
Mtanzania17 Jan
Escrow yauma vigogo BoT, TRA
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Fedha wa Benki Kuu, Julius Angello, Meneja wa Misamaha ya Kodi wa TRA, Kyabukoba Mutabingwa na Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa ya zaidi ya Sh bilioni mbili kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Washtakiwa hao walipandishwa jana kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya mahakimu wawili tofauti na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
UFISADI BIL. 200 BoT: Vigogo waunda zengwe kukwepa
MKAKATI wa kuwanasua vigogo wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika katika kashfa nzito ya ufisadi wa dola za Marekani milioni 122 (sawa na sh bilioni 200) katika akaunti ya Baraza la Usuluhishi...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
DC , wenzake watatu wakutwa na kesi ya kujibu
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani
11 years ago
Habarileo12 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.
11 years ago
Habarileo26 Jun
Aliyekuwa Mkurugenzi TBS ana kesi ya kujibu
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kulisababishia shirika hilo hasara ya Sh milioni 68, amepatikana na kesi ya kujibu.