DC , wenzake watatu wakutwa na kesi ya kujibu
Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, Yona Wilson amesema Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Hadija Nyembo na wenzake watatu wana kesi ya kujibu ya ubadhirifu wa pembejeo za kilimo na matumizi mabaya ya madaraka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 May
Mwalimu, wenzake wakutwa na mifupa ya albino
WATU sita, akiwemo Mwalimu wa Shule ya Msingi Katunguru iliyoko Kata ya Wendele, Tarafa ya Msalala wilayani Kahama, wamekamatwa mjini hapa wakiwa na vipande sita vya mifupa inayodhaniwa kuwa ya albino.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Fr74s4q3MTw/U6Q-fMjaMKI/AAAAAAAFr9U/n4fWQpvvhbM/s72-c/unnamed+(16).jpg)
WATU WATATU WATIWA MBARONI MKOANI PWANI,WAKUTWA NA BASTOLA NA SARE ZA JESHI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fr74s4q3MTw/U6Q-fMjaMKI/AAAAAAAFr9U/n4fWQpvvhbM/s1600/unnamed+(16).jpg)
JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuwakamata watu watatu akiwemo mtu Daniel Mtalisi mkazi wa Kisemvule wilaya ya Mkuranga ambaye alipitia mafunzo ya kijeshi kwa tuhuma za kufanya tukio la uhalifu wa kupora silaha na vitu mbalimbali.
Mtuhumiwa huyo ambayealiwahi kupata mafunzo ya kijeshi kwenye Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi namba 833 Oljoro Arusha na namba yake ni MT. 95150.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kwa waandishi wa habari mjini Kibaha,...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani
11 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Washtakiwa EPA wana kesi ya kujibu’
11 years ago
Habarileo12 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Wagiriki watatu mbaroni Dar kwa uhalifu wa mtandao ‘Cyber Crime’ wakutwa na ATM Card zaidi ya 10
Pichani ni picha ya Mtanndao ni namna ya wahalifu wa kimtadao wanavyoingilia mfumo wa computer yako na kuchukua vitu muhimu.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa watatu raia wa kigeni kwa makosa yanayohusiana na wizi wa mtandao kwa lengo la kuiba katika vyombo vya fedha kama mabenki, maduka ya kubadilishia fedha (Bureau de Change) au kuingilia miamala ya fedha zinazosafirishwa na wateja kutoka nje na ndani ya nchi.
Polisi wa kikosi Maalum cha...
9 years ago
StarTV05 Jan
Mchezaji Karim Benzema abainika na kesi ya kujibu. Â
Jaji anayesikiliza kesi inayomuhusu mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Karim Benzema anayekabiliwa na tuhuma za kuingilia mawasiliano binafsi ya kimapezi ya mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena amesema mchezaji huyo ana kesi ya kujibu kulingana na ushahidi uliyotolewa.
Jaji Nathalie Boutard amebainisha baada ya uchunguzi kufanyika na ushahidi wa vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani Benzema ana kesi ya kujibu.
Amesema Benzema hana sababu ya kukutana na Valbuena kwa lengo la kulimzaliza suala...
10 years ago
Mwananchi19 May
Watoto wa vigogo BoT wana kesi ya kujibu
11 years ago
Mwananchi06 Feb
‘Vigogo wa Suma-JKT wana kesi ya kujibu’