Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu ndani ya Gereza la Ukonga ana kesi ya kujibu.

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Kisutu yasema Hans Macha ana kesi ya kujibu

Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetoa uamuzi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha (pichani) kuwa ana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo, umetolewa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Devotha Kisoka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara huyo ya kugushi hati ya kiwanja cha Ramadhan Balenga chenye namba 183 kilichopo Kigogo, mkataba wa mauziano na hati ya uhamishaji miliki.
Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Devotha alisema baada...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyekuwa Mkurugenzi TBS ana kesi ya kujibu

 Charles EkelegeALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kulisababishia shirika hilo hasara ya Sh milioni 68, amepatikana na kesi ya kujibu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo

Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi anayodaiwa kuyatenda Oktoba 2018.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama kumhukumu Liyumba leo

 Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo itatoa hukumu dhidi ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba.

 

11 years ago

GPL

LIYUMBA ASHINDA KESI

Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi,...

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa

Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kumkomoa.

 

11 years ago

Habarileo

Liyumba aachiwa huru kesi ya simu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba baada ya kumuona hana hatia katika mashitaka yaliyokuwa yanamkabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani