LIYUMBA ASHINDA KESI
![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55KiH43HCyRhGra4kghQuB3fEtcvjfWnKxFRydC79l38GwLfTNi1JWs4jt3jSlE5vpmrGfijmp1B6S0o*tnE0TXy/13.gif)
Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Hukumu kesi ya Liyumba leo
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa
11 years ago
Habarileo17 Jan
Liyumba aachiwa huru kesi ya simu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba baada ya kumuona hana hatia katika mashitaka yaliyokuwa yanamkabili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55K4xXsjQAj4tH8wXDbZXEN0RtazBvGlyDetaZzJUlaIhUFCVgf8kEaNi3Ju5Y8i-6I02gdWsBmxIHfOFUBmS8k7/1LIYUMBA1.jpg?width=650)
TASWIRA ZA LIYUMBA BAADA YA KUSHINDA KESI LEO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s72-c/image.jpg)
NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s640/image.jpg)
Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3xglYvB3JhuOC2B5fVV2Gqe7RSAzOmucYKltrKJ1o6X1HMwY3*E3wbscYpkZZfepnZqM3-RVMyObcjR3YwKkhBK/lwakatare.jpg)
LWAKATARE ASHINDA KESI YA UGAIDI