Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LWAKATARE ASHINDA KESI YA UGAIDI

MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare leo ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili. Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

10 years ago

Habarileo

Maombi ya DPP kesi ya Lwakatare yatupwa

KESI ya ugaidi iliyowasilishwa katika Mahakama ya Rufaa na Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kuomba marejeo ya hukumu ya Mahakama Kuu iliyompa ushindi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, imetupiliwa mbali kutokana na kuwepo kwa upungufu wa kisheria.

 

11 years ago

GPL

LIYUMBA ASHINDA KESI

Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi za ugaidi balaa

KESI za ugaidi jana zilivifanya viunga vya mahakama za miji ya Arusha na Dar es Salaam kutawaliwa na ulinzi mkali wakati watuhumiwa walipofikishwa mahakamani. Jijini Dar es Salaam, kiongozi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya ugaidi bado

UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...

 

10 years ago

GPL

SHEIKH PONDA ASHINDA KESI

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameshinda kesi ya jinai ya kuingilia eneo la ardhi ya Agritanza Ltd, japo amerudishwa Segerea kwa kuwa bado ana kesi nyingine inayomkabili. Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro. Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya uchochezi ya mkoani...

 

10 years ago

Habarileo

Wahusisha kesi ya ugaidi na Muungano

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shehe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake 19 wanaokabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi, wamedai wamekamatwa na kushitakiwa kwa kuwa wanapinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muislamu wa US ashinda kesi ya Hijab

Mahakama ya Marekani imetoa uamuzi uliompendelea mwanamke muislamu ambaye alienda mahakamani baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la hijab.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani