Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi za ugaidi balaa

KESI za ugaidi jana zilivifanya viunga vya mahakama za miji ya Arusha na Dar es Salaam kutawaliwa na ulinzi mkali wakati watuhumiwa walipofikishwa mahakamani. Jijini Dar es Salaam, kiongozi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMU YA KICHINA YAZUA BALAA KESI YA SHEHE PONDA

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima
SIMU ya Kichina imezua balaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Jumatano iliyopita wakati wa usikilizwaji wa kesi ya Katibu wa Jumuiya ya Kiislamu, Shehe Ponda Issa Ponda, Ijumaa linakupa habari kamili. Tukio hilo la aina yake lilitokea baada ya simu ya Kichina ya mmoja wa wafuasi wa Shehe Ponda aliyefahamika kwa jina la Shehe Kitula kuita wakati shughuli za kimahakama zilizopokuwa...

 

10 years ago

GPL

LWAKATARE ASHINDA KESI YA UGAIDI

MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare leo ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili. Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Upelelezi kesi ya ugaidi bado

UPELELEZI wa kesi ya kuwaagiza watu kufanya makosa mbalimbali ya kigaidi nchini inayowakabili watu 16 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, bado haujakamilika. Waendesha mashitaka wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wahusisha kesi ya ugaidi na Muungano

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shehe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake 19 wanaokabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi, wamedai wamekamatwa na kushitakiwa kwa kuwa wanapinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mawakili waomba kesi ya ugaidi ifutwe


NA MWANDISHI WETU
MAWAKILI wanaowatetea viongozi wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar wameiomba mahakama kuiondoa hati ya mashitaka ya ugaidi dhidi  ya wateja wao.
Sheikh FArid Hadi Ahmed na wenzake,  wanakabiliwa na mashitaka ya kula njama, kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi,  kukubaliana kuwaingiza Sadick Absaloum na Farah Omary ili washiriki vitendo.
Ombi hilo liliwasilishwa jana, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako ulinzi uliimarishwa kwa kuwepo askari wengi wakiwemo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ugaidi ya Westgate yaanza Kenya

Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.

 

11 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Uamsho aunganishwa kesi ugaidi

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi ya ugaidi haijavunja Katiba ya Zanzibar

Mahakama Kuu ya Zanzibar imesema mashtaka ya ugaidi yanaweza kufunguliwa katika mahakama yoyote baina ya pande mbili za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama ilivyotokea kwa Wazanzibari 14 waliokamatwa Zanzibar na kufunguliwa mashtaka yao Tanzania Bara.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Uamsho kortini kesi ya ugaidi

 Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Mselem Ali Mselem na mwenzake Abdallah Said Ali wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwamo la kula njama ya kuingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani