NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3v9ncL00ffs/VJf72HR2AtI/AAAAAAAAC9Q/TGFD34WTT44/s72-c/image.jpg)
Johnson Lukaza
Mwesigwa Lukaza
Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Johnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi dhidi ya EPA
Johnson Lukaza.
Mwesigwa Lukaza
JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI
Na Happiness Katabazi (UB)
HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdomo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE WASHINDA KESI YA EPA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RqIJRlagvGo/XkuWfPBy66I/AAAAAAALd2E/r-plicEL0lQ5JWkYClWI9hrs4HDyk6VzgCLcBGAsYHQ/s72-c/zitto%252Bpic.jpg)
NEWZ ALERT : MBUNGE ZITTO KABWE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU
![](https://1.bp.blogspot.com/-RqIJRlagvGo/XkuWfPBy66I/AAAAAAALd2E/r-plicEL0lQ5JWkYClWI9hrs4HDyk6VzgCLcBGAsYHQ/s640/zitto%252Bpic.jpg)
Zitto anakabiliwa na kesi ya uchochezi namba 237 ya mwaka 2018.
Taarifa kamili tutawaletea baadae.......
10 years ago
Habarileo28 Aug
Hatima ya kesi ya Lukaza Oktoba 8
HATIMA ya washitakiwa wawili wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), itajulikana Oktoba 8 mwaka huu wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Kesi ya EPA yapigwa kalenda
KESI ya wizi wa Sh milioni 207 kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) imeahirishwa kutokana na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi hiyo, amelazwa hospitali.
10 years ago
Habarileo03 Nov
Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ewGePZYcc7M/U-tqT6sdbiI/AAAAAAAF_N4/XR2UMtSC15c/s72-c/1.jpg)
Kesi ya epa kusikilizwa Agosti 25 na 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-ewGePZYcc7M/U-tqT6sdbiI/AAAAAAAF_N4/XR2UMtSC15c/s1600/1.jpg)
11 years ago
Mwananchi25 Mar
‘Washtakiwa EPA wana kesi ya kujibu’
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Maranda apangua kesi ya fedha za Epa