Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Johnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi dhidi ya EPA

unnamed

Johnson Lukaza.

unnamed (1)

Mwesigwa Lukaza

JOHNSON  LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Na Happiness Katabazi (UB)

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdomo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.

Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE WASHINDA KESI YA EPA

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza. HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imewachia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa shilingi bilioni sita katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu (EPA), baada ya kuwaona hawana hatia. Hukumu hiyo Imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu, Edson Mkasimongwa aliyekuwa akisaidiana...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

10 years ago

Vijimambo

HERI YA KUZALIWA MWANAKIJIJI JOSEPHAT LUKAZA..FELIZ CUMPLEAÑOS JOSEPHAT LUKAZA

Mwanakijiji Josephat LukazaTunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo ili...

 

10 years ago

Habarileo

Hatima ya kesi ya Lukaza Oktoba 8

HATIMA ya washitakiwa wawili wa kesi ya wizi wa Sh bilioni sita za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), itajulikana Oktoba 8 mwaka huu wakati Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itakapotoa uamuzi kama wana kesi ya kujibu au la.

 

10 years ago

Michuzi

Heri ya Kuzaliwa Mdau Josephat Lukaza.

Mwanakijiji Josephat Lukaza.
Tunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.
Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo ili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Heri ya Kuzaliwa mwanakijiji Josephat Lukaza

Mwanakijiji Josephat Lukaza.

Tunapenda Kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwako na ukiwa sehemu ya wanakijiji wa digitali hapa duniani.

Tunachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukubariki kwa kukuongezea maisha marefu na yenye heri hapa duniani ili vizazi vingine viweze kufaidi baraka na neema za mwenyezi Mungu kupitia Wewe.

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako iwe chachu na siku ya kufikiria ulipotoka, Ulipo na uendapo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Lukaza Blog yaleta Tunzo Nyumbani. Asanteni Wasomaji, watembeleaji na Bloggers wenzangu

Mmiliki wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza akiwa ameshikilia Tunzo aliyoshinda katika Kipengele cha Blog Bora ya Siasa katika Shindano la African Blogger Awards 2015 lililofanyika nchini Africa Kusini .Tutembelee kwa kufuata link hii http://www.josephatlukaza.com

Shindano la African Blogger Awards linaloendeshwa na Kampuni ya Webfluential ya Nchini Afrika Kusini lilianzishwa mnamo mwaka 2014 huku Lukaza Blog ikishiriki Kwa Mara ya Kwanza na kuibuka kuwa mshindi wa Pili wa Blog bora ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mmke, mume washinda rufani hukumu ya EPA

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mme na mke, Manase Makale na Edda Makale, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 26 kwa kuhusika na wizi wa fedha katika Akaunti...

 

10 years ago

Habarileo

Waliofungwa kesi ya EPA waachiwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani