Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmke, mume washinda rufani hukumu ya EPA

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mme na mke, Manase Makale na Edda Makale, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 26 kwa kuhusika na wizi wa fedha katika Akaunti...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA PROIN, JOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE WASHINDA KESI YA EPA

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza. HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imewachia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa shilingi bilioni sita katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu (EPA), baada ya kuwaona hawana hatia. Hukumu hiyo Imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu, Edson Mkasimongwa aliyekuwa akisaidiana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Johnson Lukaza na Mwesigwa Lukaza washinda kesi dhidi ya EPA

unnamed

Johnson Lukaza.

unnamed (1)

Mwesigwa Lukaza

JOHNSON  LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Na Happiness Katabazi (UB)

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdomo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.

Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Maua Daftari ashinda rufani

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk. Maua Daftari, ameshinda rufani aliyokata dhidi ya mfanyabiashara Fatuma Salimini Said, aliyetakiwa alipwe sh milioni 100. Hukumu hiyo imetolewa mwishoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rufani za wabunge zatamalaki CCM

CCM imesema haitarudia makosa ya mwaka 2010 ya kutengua uamuzi wa wanachama, lakini itahitaji kuwa na moyo mgumu baada ya makada wengi kukata rufaa kupinga matokeo ya kura za maoni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Daftari apongezwa kushinda rufani

HATUA ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Maua Daftari, kushinda rufani ya kesi ya utapeli iliyokuwa ikimkabili,  imeelezwa kurejesha heshima na hadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kumpinga Zitto Mahakama ya Rufani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiko katika harakati za kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, uliompa ushindi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Jaji ajitoa rufani ya Ponda

>Jaji Shaban Lila wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, aliyekuwa amepangwa kusikiliza rufaa ya katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, amebwaga manyanga.

 

11 years ago

Michuzi

RUFANI YA RICHARD MICHAEL WAMBURA YAKWAMA TFF

Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya  Michael Richard Wambura (pichani) kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.

Wambura aliwasilisha rufani yake mbele ya Kamati hiyo iliyokutana leo (Juni 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Kaimu Mwenyekiti Wakili Mwita Waissaka kupinga uamuzi wa kumwengua katika kinyang’anyiro hicho uliofanywa na Kamati ya Uchaguzi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI APONGEZWA BAADA YA KUAPISHWA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga akimkabidhi shada la ua Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya Rufani mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais mapema siku ya Alhamisi tar. 08.01.2015.Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi akimpongeza Mhe. Katarina Revocatti kwa kuteuliwa kwake kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T).Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga, (kulia), Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani