Rufani za wabunge zatamalaki CCM
CCM imesema haitarudia makosa ya mwaka 2010 ya kutengua uamuzi wa wanachama, lakini itahitaji kuwa na moyo mgumu baada ya makada wengi kukata rufaa kupinga matokeo ya kura za maoni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wabunge CCM wajilipua
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Wabunge CCM wamvaa JK
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....
11 years ago
Tanzania Daima29 May
IPTL yavuruga wabunge CCM
SAKATA la fedha zinazodaiwa kuchotwa kwenye Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu (BoT) limewavuruga wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima limebaini....
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Wabunge Ukawa wakimbilia CCM
ANGALAU wabunge wanne kutoka katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wataham
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Panga pangua ya wabunge CCM
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekamilisha uteuzi wa wagombea ubunge wa majimbo na viti maalumu, huku baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wakiachwa na kuchukuliwa walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kukamilika kwa kazi hiyo kunatoa fursa kwa wana CCM kujipanga na kuhakikisha wanarudisha umoja na mshikamano ili chama kiweze kushinda uchaguzi...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Wabunge wanne CCM wakatwa
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakijikuta wakitupwa nje.
Katika kikao hicho kilichoanza juzi na kumalizika jana mjini hapa, chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete, waliokatwa ni Mbunge wa Babati Mjini anayemaliza muda wake, Kisyeri Chambiri na mwenzake wa Babati Vijijini, Virajilal Jituson.
Wengine walioangukiwa na rungu la Kamati...
10 years ago
Mwananchi18 May
Wabunge CCM sasa njiapanda
10 years ago
Uhuru Newspaper18 Mar
Kinana awavaa wabunge CCM
Awataka wasisubiri kuaibishwa, wajipimeLeizer aibua mapya, kubwaga manyanga
NA WAANDISHI WETU, LONGIDO
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wabunge wake kujipima kama wanatosha kabla ya kuingia tena kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kazi ya kuwatumikia wananchi.
Sambamba na hiyo, CCM imewaonya wabunge kuanza kujiengua ili kulinda heshima zao ndani na nje ya Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alitoa agizo hilo juzi wakati akizungumza na wakazi wa Helendeke katika Mji Mdogo wa Namanga...
11 years ago
Habarileo06 Apr
Kinana kukutana na wabunge CCM
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema anakusudia kukutana na wabunge wote wa chama hicho, ili kupata ufumbuzi wa malalamiko ya wafanyabiashara nchini kuhusu mashine za kieletroniki (EFDs) za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).