Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge CCM sasa njiapanda

>Wakati mkutano wa mwisho wa Bunge la 10 ukiendelea, baadhi ya wabunge CCM wamebaki njiapanda kimaamuzi iwapo waendelee kuikosoa Serikali ya chama chao na kujiweka mahali pazuri kwa wapigakura wao au waifagilie Serikali bila ya kujali hatima ya ubunge wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Escrow Njiapanda, wabunge wagawanyika

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jana alipangua hoja zilizotolewa na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), kuhusu ufisadi uliofanyika katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kuacha wananchi njia panda kwa kutokuelewa nani anasema ukweli kati yake na kamati hiyo, inayoongozwa na Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba Mpya sasa yawekwa njiapanda

>Kikao cha mashauriano kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kinatarajiwa kuanza leo lakini wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamesisitiza kuwa hawatashiriki.

 

10 years ago

Habarileo

Komba awaacha CCM ‘njiapanda’

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma wakiifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kapteni John Komba nyumbani kwake Mbezi kwa Komba, Dar es Salaam jana. (Picha na Ikulu).KIFO cha Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba kimetajwa kuwa pigo kubwa kisiasa kwa viongozi wengi ambao baadhi wameshuhudia namna walivyosaidiwa katika kampeni kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu yayaweka njiapanda makundi CCM

Habari kuwa Kamati Kuu ya CCM inayokutana Zanzibar kesho itajadili hatima ya vigogo sita wa chama hicho waliopewa onyo kwa kuanza kampeni za urais mapema, zimezidi kuyaweka makundi ya vigogo hao njiapanda.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili sheria ajira za wageni

KAMATI za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kukutana Dar es Salaam kwa siku 11 kuanzia Jumanne ijayo, zinatarajiwa pamoja na mambo mengine, kujadili na kuchambua miswadi 11 ya sheria, ikiwamo ya udhibiti wa ajira za wageni.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE WALIOMWITA LOWASSA FISADI SASA WAMKARIBISHA KWENYE CHAMA CHAO


By Florence Majani, Mwananchi
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.

Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya kutegemea mitandao ya kijamii.

“Nitazungumza pale mambo yatakapokuwa sawa, siwezi kuzungumza sasa, subirini… sasa hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wajilipua

Wajumbe watatu wa Bunge la Katiba ambao ni wabunge wa CCM wametofautiana na msimamo wa chama chao kwa kuunga mkono kura ya siri itumike kuamua ibara za Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge CCM wamvaa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani