Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge sasa kujadili sheria ajira za wageni

KAMATI za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kukutana Dar es Salaam kwa siku 11 kuanzia Jumanne ijayo, zinatarajiwa pamoja na mambo mengine, kujadili na kuchambua miswadi 11 ya sheria, ikiwamo ya udhibiti wa ajira za wageni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ajira za wageni TZ yapitishwa

Bunge la Tanzania limepitisha mswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014

 

10 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini

Na. Anitha Jonas na Johary Kachwamba -MAELEZO, DODOMA
WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka amesoma Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini wa mwaka 2014 kwa mara ya pili ikiwa muswada huu umelenga masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya kiteknolojia ambayo ni kichocheo kikubwa  cha uhamiaji wa nguvu kazi kutoka nchi moja kwenda nyingine.
 Mhe.Kabaka alisema kwa sasa zipo mamlaka nyingi zinzotoa vibali vya ajira kwa wageni kwa kuzingatia...

 

9 years ago

Michuzi

Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).

  1.         Mwezi Machi, 2015, Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lilipitisha  Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act). Sheria hii ilisainiwa na Mheshimiwa Rais mwezi Mei, 2015 na imetangazwa kuanza kutumika rasmi tangu tarehe 15/09/2015 kupitia Gazeti la Serikali Na. 406 la mwaka 2015.


2.          Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni

 na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge washauriwa kubadili sheria ya ajira

WABUNGE wameshauriwa kubadilisha sheria kuhakikisha watendaji wa kata wanaajiriwa kwenye wilaya zao badala ya Tume ya Ajira.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge sasa kujadili hotuba za Rais, Warioba

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa Mjumbe wa Bunge hilo, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuridhia ombi hilo lililotolewa na baadhi ya wajumbe.

 

11 years ago

Habarileo

Wageni wanavyopata ajira za Watanzania

UWEPO wa vyombo mbalimbali vinavyotoa kibali cha kufanya kazi nchini, umetoa mwanya kwa wageni kuingia nchini na kuajiriwa katika nafasi za kazi, ambazo baadhi hata Watanzania wana uwezo wa kuzijaza. Mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Rais Jakaya Kikwete alisema Serikali imebaini kuwa tatizo hilo la kutolewa kwa vibali kiholela, linatokana na vibali hivyo, kutolewa na taasisi zaidi ya moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajira za wageni zazua mjadala bungeni

Dodoma. Serikali imewasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Udhibiti wa Ajira za Wageni kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ajira za wageni nchini, ikiwamo kuwabana wanaofanya kazi bila kuwa na elimu stahiki.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yatangaza ‘kuminya’ ajira za wageni

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameagiza waajiri kote nchini kutowapa ajira wageni kwa kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUFANYA OPERASHENI YA KUKAGUA VIBALI VYA AJIRA KWA WAGENI

Serikali imeamua muda wowote kuanzia mwezi huu kuanza ukaguzi wa vibali vya Ajira za Wageni nchini, kufuatia muda wa siku 14 kuisha uliotolewa na serikali katika tangazo la utolewaji wa vibali vya kazi kwa wageni nchini lililotiwa saini Desemba 14, mwaka huu, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Aiira, Vijana na Watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), ambaye aliwataka waajiri wote nchini kwa muda wa siku hizo wawe wametekeleza matakwa ya Sheria ya Kuratibu Ajira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani