Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini
Na. Anitha Jonas na Johary Kachwamba -MAELEZO, DODOMA
WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka amesoma Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini wa mwaka 2014 kwa mara ya pili ikiwa muswada huu umelenga masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya kiteknolojia ambayo ni kichocheo kikubwa cha uhamiaji wa nguvu kazi kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Mhe.Kabaka alisema kwa sasa zipo mamlaka nyingi zinzotoa vibali vya ajira kwa wageni kwa kuzingatia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ojWZasMiP1M/VgmlBfCmvaI/AAAAAAAH7pc/qdw9XIxVX4k/s72-c/ss.png)
Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).
![](http://1.bp.blogspot.com/-ojWZasMiP1M/VgmlBfCmvaI/AAAAAAAH7pc/qdw9XIxVX4k/s640/ss.png)
2. Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...
10 years ago
Habarileo29 Mar
Bunge lapitisha muswada wa sheria ya bajeti
KWA mara ya kwanza Tanzania itakuwa na sheria ya bajeti baada ya Bunge jana kupitisha muswada wa sheria ya bajeti ambayo inataka mchakato wa kuandaa bajeti kuwahusisha Wabunge.
10 years ago
Habarileo01 Apr
Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Bunge lapitisha muswada, sasa waandishi kufungwa jela ikiwa...
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Sheria ya ajira za wageni TZ yapitishwa
10 years ago
Habarileo09 Jan
Wabunge sasa kujadili sheria ajira za wageni
KAMATI za Kudumu za Bunge zinazotarajiwa kukutana Dar es Salaam kwa siku 11 kuanzia Jumanne ijayo, zinatarajiwa pamoja na mambo mengine, kujadili na kuchambua miswadi 11 ya sheria, ikiwamo ya udhibiti wa ajira za wageni.
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Muswada wa ajira waligawa Bunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa Kazi na AJIRA, Gaudentia Kabaka, umewagawa wabunge ambapo baadhi yao wameupinga na kusema unakinzana na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeingia.
Akisoma muswada huo jana, Kabaka alisema ulitungwa kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa ajira za wageni nchini.
Alisema sheria hiyo inatarajiwa kuweka mamlaka moja itakayoratibu na kurahisisha upatikanaji wa vibali vya ajira za...
11 years ago
Ykileo26 Apr
BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.
Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.
Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...