Muswada wa ajira waligawa Bunge
Na Fredy Azzah, Dodoma
MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa Kazi na AJIRA, Gaudentia Kabaka, umewagawa wabunge ambapo baadhi yao wameupinga na kusema unakinzana na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeingia.
Akisoma muswada huo jana, Kabaka alisema ulitungwa kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa ajira za wageni nchini.
Alisema sheria hiyo inatarajiwa kuweka mamlaka moja itakayoratibu na kurahisisha upatikanaji wa vibali vya ajira za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini
WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka amesoma Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini wa mwaka 2014 kwa mara ya pili ikiwa muswada huu umelenga masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya kiteknolojia ambayo ni kichocheo kikubwa cha uhamiaji wa nguvu kazi kutoka nchi moja kwenda nyingine.
Mhe.Kabaka alisema kwa sasa zipo mamlaka nyingi zinzotoa vibali vya ajira kwa wageni kwa kuzingatia...
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Tanzania yapitisha muswada wa ajira
10 years ago
Habarileo20 Nov
Muswada ‘Bodi ya Mikopo’ wakwamisha Bunge
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii jana ilipinga kuwasilishwa kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2014, ikipinga kubadilishwa kwa Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
11 years ago
Mwananchi30 May
Muswada wa VAT waongeza muda wa Bunge
10 years ago
Habarileo29 Mar
Bunge lapitisha muswada wa sheria ya bajeti
KWA mara ya kwanza Tanzania itakuwa na sheria ya bajeti baada ya Bunge jana kupitisha muswada wa sheria ya bajeti ambayo inataka mchakato wa kuandaa bajeti kuwahusisha Wabunge.
10 years ago
Habarileo01 Apr
Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Bunge lapitisha muswada, sasa waandishi kufungwa jela ikiwa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Wanajeshi na Polisi wavamia bunge la El Salvador kulishinikiza kupitisha muswada