Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muswada wa VAT waongeza muda wa Bunge

Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato (VAT).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge laongezwa muda kujadili VAT, ardhi

>Bunge limeongeza muda wa vikao kwa siku tatu zaidi ili kutoa nafasi kwa wabunge kujadili Muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), ambao unalenga kuondoa misamaha ya kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Muswada wa VAT hatihati kujadiliwa

>Hatima ya Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kujadiliwa katika Mkutano wa 15 wa Bunge iko mikononi mwa Serikali, baada ya Kamati za Kudumu za Bunge kuupinga na kupendekeza urejeshwe katika kamati za kisekta ili ujadiliwe upya.

 

10 years ago

Habarileo

TRA yapongezwa muswada wa VAT

MTANDAO wa Policy Forum umeipongeza Serikali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuzingatia mapendekezo ya wadau katika uandaaji wa Muswada wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) wa mwaka 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Lugola awashia moto Muswada wa VAT

>Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema iwapo Muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), hautapelekwa bungeni, atakusanya saini za wabunge ili kumwondoa madarakani Spika wa Bunge, Anne Makinda.

 

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa ajira waligawa Bunge

Na Fredy Azzah, Dodoma
MUSWADA wa Sheria ya Kazi na Ajira uliosomwa bungeni kwa mara ya pili jana na Waziri wa Kazi na AJIRA, Gaudentia Kabaka, umewagawa wabunge ambapo baadhi yao wameupinga na kusema unakinzana na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeingia.
Akisoma muswada huo jana, Kabaka alisema ulitungwa kwa lengo la kuimarisha usimamizi wa ajira za wageni nchini.
Alisema sheria hiyo inatarajiwa kuweka mamlaka moja itakayoratibu na kurahisisha upatikanaji wa vibali vya ajira za...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraBUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha muswada wa sheria ya bajeti

KWA mara ya kwanza Tanzania itakuwa na sheria ya bajeti baada ya Bunge jana kupitisha muswada wa sheria ya bajeti ambayo inataka mchakato wa kuandaa bajeti kuwahusisha Wabunge.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada ‘Bodi ya Mikopo’ wakwamisha Bunge

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Margaret SittaKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii jana ilipinga kuwasilishwa kwa Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2014, ikipinga kubadilishwa kwa Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani