Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lapitisha muswada wa sheria ya bajeti

KWA mara ya kwanza Tanzania itakuwa na sheria ya bajeti baada ya Bunge jana kupitisha muswada wa sheria ya bajeti ambayo inataka mchakato wa kuandaa bajeti kuwahusisha Wabunge.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini

Na. Anitha Jonas na Johary Kachwamba -MAELEZO, DODOMA
WAZIRI wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka amesoma Muswada wa Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni nchini wa mwaka 2014 kwa mara ya pili ikiwa muswada huu umelenga masuala mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi pamoja na mahitaji ya kiteknolojia ambayo ni kichocheo kikubwa  cha uhamiaji wa nguvu kazi kutoka nchi moja kwenda nyingine.
 Mhe.Kabaka alisema kwa sasa zipo mamlaka nyingi zinzotoa vibali vya ajira kwa wageni kwa kuzingatia...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraBUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lapitisha muswada, sasa waandishi kufungwa jela ikiwa...

>Mvutano mkali uliibuka jana bungeni wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha Muswada wa Takwimu wa mwaka 2013, baada ya wabunge kuupinga. Muswada huo una kipengele kinachotoa adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela na faini isiyopungua Sh10 milioni kwa mtu au chombo cha habari kitakachofanya makosa ya kutoa takwimu zisizokuwa sahihi.

 

10 years ago

Vijimambo

Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana tarehe 29 Mei 2015. Kutoka kushoto mstari wa mbele ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Naibu Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahya, Mkurugenzi wa chuo cha Diplomasia, Mhe. Dkt. Mihammed Maundi wakifuatilia kwa makini hotuba ya bajeti. Wageni waalikwa wakiwa katika ukumbi wa Bunge...

 

11 years ago

GPL

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA SERIKALI KWA KURA ZA NDIO

Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha…

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli (Mb) akiwakisilisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi Bungeni.


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/15.


Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti hiyo itawezesha Wizara  ya Ujenzi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi hapa nchini.


Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo jana, Waziri wa...

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Serikali kwa kura za ndiyo



 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.   Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.  Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha...

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kushoto akiwa amempa mkono Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akimpongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati akiwa akiwa ameshikana mikono  na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.Eliakim Maswi na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akiwapongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani