Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kushoto akiwa amempa mkono Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akimpongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati akiwa akiwa ameshikana mikono  na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.Eliakim Maswi na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akiwapongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kambi ya Upinnzani yasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Wapinzani wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakiongozwa na kiongozi wa Upinzani  Bungeni Mhe.Freeman Mbowe wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 2014/2015

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli (Mb) akiwakisilisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi Bungeni.


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi yenye jumla ya Shilingi 1,219,717,592,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2014/15.


Hatua hiyo ya Bunge kupitisha Bajeti hiyo itawezesha Wizara  ya Ujenzi kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuendeleza Sekta ya Ujenzi hapa nchini.


Akiwasilisha hotuba ya bajeti hiyo jana, Waziri wa...

 

5 years ago

CCM Blog

BUNGE LAPITISHA MAKADIRIO YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Na.Faustine Gimu Galafoni,DodomaKatika  kutekeleza majukumu ya Wizara ya Madini kwa  Mwaka 2020/2021,  Bunge limeridhia  na kupitisha makadirio ya Jumla ya shilingi 62,781,586,000 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara na Taasisi zake.

Akiwasilisha Bungeni jijini Dodoma April 21 ,2020   hotuba ya Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2020/2021 Waziri wa Madini Mhe.Doto Mashaka Biteko alisema  Mchanganuo wa Bajeti hiyo ni kama ifuatavyo:-
 (i)Bajeti ya Maendeleo ni shilingi 8,500,000,000....

 

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa na Bunge

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi A.Mussa kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge  Balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa UN Mhe. Modest J.Muro wapili kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda  Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge leo,wa kwanza...

 

11 years ago

GPL

BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KWA MWAKA 2014/2015 YAPITISHWA NA BUNGE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 jana
Kiongozi swa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akichangia hoja wakati  wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 jana… ...

 

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa na Bunge leo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya     Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 leo Kiongozi swa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akichangia hoja wakati  wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 leo . Msemaji wa Kambi ya upinzani kwa Wizara ya Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.   Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari wa Maelezo, Fatma Salum.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani