Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi na Polisi wavamia bunge la El Salvador kulishinikiza kupitisha muswada

Wanataka kuidhinishwa kwa mkopo wa mamilioni ya pesa ili kuwapatia vifaa vya kukabiliana na uhalifu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa polisi pamoja na wanajeshi waliojihami wanaingia bunge la El Salvador

Wanajeshi na maafisa wa polisi waliojihami nchini El Salvador wamevamia bunge , wakitaka kuidhinishwa kwa mkopo wa dola milioni 109 ili kuwanunulia vifaa vya kukabiliana na uhalifu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wavamia Chama cha Wanajeshi Myanmar

Polisi na wanajeshi wa Myanmar wamevamia makao makuu ya chama kinachoungwa mkono na jeshi cha Nay-Pyi-daw

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wabunge wa CCM wametishwa kupitisha muswada wa gesi — Mbarouk

HIVI karibuni Bunge lilichafuka baada ya wabunge wa upinzani kugomea miswada ya mafuta na gesi kwa walichokieleza kuwa imeletwa kwa dharura. Mwandishi Wetu MARY VICTOR, amefanya mahojiano na mmoja wa wabunge wa upinzani kuelezea ni kwa nini walikuwa wanagomea miswada hiyo. Endelea…

Raia Tanzania: Kwa hiki kilichotokea bungeni kwa wabunge wa upinzani hususan wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupinga Muswada wa Sheria ya Petroli, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matokeo rasmi ya kura za kupitisha rasimu ya Katiba Bunge Maalum mjini Dodoma

bunge1

Idadi ya Wabunge ni 219

Waliopiga kura154

Wasiopiga Kura 65

Akidi inayotakiwa kura 146

Kura za NDIYO 147

Kura za HAPANA 7

 

TANGANYIKA

Idadi ya Wabunge 411

Waliopiga kura 335

Wasiopiga Kura 76

Akidi inayotakiwa kura 274

Kura za NDIYO 331

Kura za HAPANA 1 hadi 4

 

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wavamia bunge Libya

Watu waliokuwa wamejihami walivamia majengo ya bunge nchini Libya na kulazimisha wabunge kusitisha shughuli ya kumteua waziri mkuu mpya.

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi wavamia Waandamanaji Bangkok

Mamia ya polisi wanakabiliana na waandamanaji ambao wamekita kambi katika afisi za serikali kwa niya ya kuwangoa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wavamia afisi za soka Ujerumani

Polisi nchini Ujerumani, wamevamia makao makuu ya shirikisho la soka nchini humo, DFB, baada ya kushuku kuwa shirikisho hilo lilikwepa kulipa ushuru.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wavamia kituo cha polisi

POLISI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamelazimika kutumia mabomu na risasi za moto ili kuwanusuru askari wawili wasiuawe baada ya kuzuka ugomvi kati ya askari polisi wa Kituo cha Lukumbule na wananchi wa vijiji vya Lukumbule na Mchesi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani