SERIKALI KUFANYA OPERASHENI YA KUKAGUA VIBALI VYA AJIRA KWA WAGENI
Serikali imeamua muda wowote kuanzia mwezi huu kuanza ukaguzi wa vibali vya Ajira za Wageni nchini, kufuatia muda wa siku 14 kuisha uliotolewa na serikali katika tangazo la utolewaji wa vibali vya kazi kwa wageni nchini lililotiwa saini Desemba 14, mwaka huu, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Aiira, Vijana na Watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), ambaye aliwataka waajiri wote nchini kwa muda wa siku hizo wawe wametekeleza matakwa ya Sheria ya Kuratibu Ajira...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Wageni 7,000 wapewa vibali vya kazi
SERIKALI imesema wageni 7,037 wamepatiwa vibali vya kazi kwa kuwa na sifa stahiki katika kipindi cha mwaka 2012/13. Hayo yalibainishwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Serikali yatoa vibali vya madini kwa wananchi
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga amesema, serikali imekuwa ikitoa vibali vya uchimbaji wa madini kwa wananchi wanaohitaji kufanya hivyo, pindi inapogundua kuna maeneo yana madini.
11 years ago
Habarileo07 May
Vibali vya ajira sekta ya afya vyaongezeka
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Steven Kebwe amesema vibali vya ajira kwa wataalamu wa afya, vimekuwa vikiongezeka ili kutoa fursa ya kuongeza watumishi wanaotoa huduma ya afya.
10 years ago
Habarileo09 Feb
Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja
WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Alisema mchakato huo uko...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ry__wsr2F8w/VGhg800KYRI/AAAAAAAGxmQ/LT05DfCGBbQ/s72-c/Picha%2Bna%2B1.jpg)
MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YAYATAKA MAKAMPUNI KUACHA KUTOA NAFASI NYINGI ZA AJIRA KWA WAGENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ry__wsr2F8w/VGhg800KYRI/AAAAAAAGxmQ/LT05DfCGBbQ/s1600/Picha%2Bna%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fbY6mNfgXPQ/VGhg9QMLkvI/AAAAAAAGxmY/9cQC8-lrW_o/s1600/Picha%2Bna%2B2.jpg)
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Serikali yatangaza ‘kuminya’ ajira za wageni
10 years ago
Mwananchi04 Sep
Serikali yasitisha vibali vya matangazo ya tiba asili
11 years ago
Habarileo26 Jul
Serikali yafutia viwanda vibali vya kuni, magogo
SERIKALI imesitisha vibali vyote vilivyotolewa kununua kuni na magogo kwa ajili ya nishati ya kuendesha viwanda mbalimbali nchini na badala yake imevitaka ndani ya muda wa miezi mitatu kuanzia jana viwe vinatumia teknolojia ya makaa ya mawe, umeme na gesi kwa ajili ya kuviendesha viwanda vyao.
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
TAS Geita wataka Serikali kufuta vibali vya waganga wa jadi
Wakazi wa kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita wakianza maandamano ya matembezi ya amani ya kupinga mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ule mavu wa ngozi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Na Alphonce Kabilondo, Geita .
MWENYEKITI wa Chama cha walemavu wa ngozi (Albinisms) (TAS) mkoani Geita, Bw Issack Timothy ameitaka serikali kufuta vibali vya waganga wajadi nchini ili kukomesha mauaji ya kikatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na waganga wa jadi kuwa chanzo...