Sheria mpya ya vibali vya ajira yaja
WIZARA ya Kazi na Ajira iko katika mchakato wa kuandaa Sheria mpya ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni ili kudhibiti kuajiriwa kwa wageni ili kufanya kazi ambazo Watanzania wenyewe wanaweza kuzifanya.
Waziri katika wizara hiyo, Gaudentia Kabaka aliliambia Bunge kuwa sheria hiyo itatoa mwongozo juu ya utoaji vibali, kwani sasa kumekuwa na sehemu nyingi hivyo kuwa na sehemu moja pamoja na adhabu kwa wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Alisema mchakato huo uko...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 May
Vibali vya ajira sekta ya afya vyaongezeka
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Steven Kebwe amesema vibali vya ajira kwa wataalamu wa afya, vimekuwa vikiongezeka ili kutoa fursa ya kuongeza watumishi wanaotoa huduma ya afya.
9 years ago
MichuziSERIKALI KUFANYA OPERASHENI YA KUKAGUA VIBALI VYA AJIRA KWA WAGENI
10 years ago
Habarileo12 Apr
Sekretarieti ya ajira yaja na mfumo mpya wa maombi ya kazi
SEKRETARIETI ya ajira katika Utumishi wa Umma inatarajia kuzindua mfumo mpya wa utumaji na upokeaji wa maombi ya kazi kwa njia ya mtandao kupitia ‘Recruitment Portal’ hivi karibuni baada ya hatua za majaribio ya mfumo huo kuonesha mafanikio.
10 years ago
Habarileo08 Nov
Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja
SERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
10 years ago
Habarileo19 Mar
Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja
WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.
11 years ago
Habarileo16 Jul
Sheria ya msaada wa kisheria yaja
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
9 years ago
Mtanzania04 Jan
RITA yaja na mapendekezo sheria ya ufilisi
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inakusudia kufanya marekebisho makubwa ya kimfumo, baada ya kuja na mependekezo yanayolenga kuwapo kwa sheria ya ufisili.
Hatua hiyo inatajwa kuwa itawaweka mahala pagumu baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, kampuni na mashirika ya kimataifa yanayotangaza kufilisika kwa njia za ujanjaujanja.
Akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa RITA, Emmy Hudson alisema hadi sasa...