Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja

WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Marekebisho Sheria ya HESLB yaondolewa

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Margaret SittaSERIKALI imeondoa sehemu ya marekebisho ya sheria katika Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, kupinga ikidai itawanyima fursa wanafunzi kutoka familia masikini kupata mikopo.

 

10 years ago

Habarileo

Muswada wa Marekebisho Sheria ya Ubia wawasilishwa

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary NaguSERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa nia ya kuboresha usimamizi na uratibu wa masuala ya ubia kati ya pande hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka marekebisho ya sheria sasa

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (Chadema) ameitaka Serikali kupeleka bungeni haraka sheria ya uhujumu uchumi ili ifanyiwe marekebisho ya kuongezewa nguvu.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheria 33 kufanyiwa marekebisho Bunge lijalo

Serikali inakusudia kupeleka bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria 33, baada ya kubaini kuwa zina upungufu katika matumizi yake.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ubakaji kufanyiwa marekebisho-Morocco

Bunge la Morocco limeidhinisha sheria iliyoruhusu wanaume waliowabaka wasichana kutofunguliwa mashtaka ikiwa watawaoa waathiriwa wao

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPELEKA BUNGENI MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wenye sehemu 14 likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, jana jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza Jumanne ijayo, (Machi 17).
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewasihi Watanzania waondoe hofu iliyoenezwa na tetesi...

 

10 years ago

Habarileo

Wadau waanza kutoa maoni marekebisho ya sheria 33

KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imeshaanza kukutana na wadau katika kupata maoni kufuatia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33. Muswada huo utawasilishwa katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Novemba 4, mwaka huu mjini Dodoma.

 

5 years ago

Michuzi

Zanzibar kufanya marekebisho ya sheria ya dawa za kulevya - Balozi Seif

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuifanyia marekebisho Sheria ya Dawa za Kulevya kwa kuzidisha adhabu kwa waingizaji, wasafirishaji na wasambazaji wa Dawa hizo zenye madhara yanayoeleweka kwa kina na wana Jamii.

Alisema hatua mbali mbali za kupambana, kukemea pamoja na kuchukia shughuli zote zinazoshajiisha matumizi  ya Dawa za Kulevya zitapaswa kuchukuliwa kutokana na janga hili linaloikumba Dunia kwa kuathiri  nguvu...

 

10 years ago

Habarileo

Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia

Katibu Mtendaji wa Sumatra CCC, Oscar Kikoyo SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani