Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia

Katibu Mtendaji wa Sumatra CCC, Oscar Kikoyo SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia

Ajali za barabarani zimekuwa ni janga kubwa kwa taifa letu. Ajali hizi kwa muda wa hivi karibuni zimeongezeka sana na kusababisha watu kufariki dunia, kupotelewa mali, kupata majeraha, kupata ulemavu wa kudumu na watu wengi wamejikuta maskini kwa sababu ya ajali za barabarani. Wengine wanafia njiani wakihangaika kupata haki zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Bariadi sasa kudai fidia

SAKATA la mbegu za pamba zilizogoma kuota limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wakulima wa zao hilo wilayani Bariadi, Simiyu kuanza kukusanya saini zao ili waweze kuwasilisha madai ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji aliyepokwa ardhi kudai fidia

BAADA ya Halmashauri ya wilaya ya Kilosa kuligawa eneo la mwekezaji Mees Estate Ltd kwa wanakijiji cha Mbigili, Kitongoji cha Mateteni kwa madai kuwa imefutiwa umiliki, uongozi wa mwekezaji huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao

WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...

 

10 years ago

Habarileo

ZATCU wataka marekebisho mapunjo ya mshahara

CHAMA cha Walimu Zanzibar (ZATUC) kimeitaka Wizara ya Elimu pamoja na Kamisheni ya utumishi Serikalini kulipatia ufumbuzi tatizo la walimu kuhusu mapunjo ya mishahara yao ambalo limedumu tangu mwaka 2013.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

9 years ago

StarTV

 BAWACHA Zanzibar wataka marekebisho Ugawaji wa viti maalum

 

Baraza kuu la wanawake wa CHADEMA Zanzibar latishia kuzishusha bendera zote za chama hicho endapo ugawaji wa viti maalum hautarekebishwa kwa upande wa Zanzibar kwa kile wanachodai kuwa ugawaji haukufuata misingi ya katiba na uwiano.

Makamu mwenyekiti wa baraza hilo Taifa  Hamida Abdalla  amesema wanachama wa CHADEMA Zanzibar wanashangazwa na hatua za viongozi wao  katika uteuzi  wa wabunge ambao wanadai hawakubaliani nao.

Wakizungumza na wanahabari visiwani Zanzibar wakiongozwa na makamu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na marekebisho ya sera ya haki

Marekani yaifanyia marekebisho sera ya haki sawa kwa wote,sasa wenye hisia za mapenzi ya jinsi moja,ruksa katika vikosi vyake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani