Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau waanza kutoa maoni marekebisho ya sheria 33

KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, imeshaanza kukutana na wadau katika kupata maoni kufuatia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2014, unaopendekeza kuzifanyia marekebisho sheria 33. Muswada huo utawasilishwa katika vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Novemba 4, mwaka huu mjini Dodoma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA RUFANI YAKUTANA NA WADAU WAKE KUTOA MAONI JUU YA KUMALIZA MASHAURI KWA WAKATI

 Baadhi ya Wadau wa Mahakama kutoka Magereza,Ofisi ya DPP, Polisi  wakiwa katika Mkutano wa Majaji wa Mahakama ya Rufani unaolenga katika kupata maoni ya wadau juu ya njia zitakazowezesha kusaidia kumaliza mashauri/rufani zinazoletwa Mahakama ya Rufani kwa wakati.Baadhi ya Wahe. Majaji, Maafisa wa Mahakama pamoja na Wadau wa Mahakama wakiwa katika Mkutano katika majadiliano juu ya Maboresho ya umalizaji wa Mahakama katika ngazi ya Mahakama ya Rufani (T) Kwa muda mrefu Mahakama ya Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA YAKUTANISHA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MIKATABA YA UTENDAJI KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu Mikataba ya Utendaji Kazi katika Taasisi za Umma katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliandaliwa mahsusi ili wadau waweze kufahamu mambo muhimu juu ya Mfumo wa Mikataba ya Utendaji Kazi hususan chimbuko, maana na faida zake, mambo ya msingi yatakayofanikisha utekelezaji wa mfumo huo, fomu ya mkataba wa utendaji kazi na vipengele vyake, vigezo vya upimaji...

 

9 years ago

Global Publishers

Kura ya maoni marekebisho ya katiba Rwanda yaanza

rwanda (1)Raia wa Rwanda akipiga kura ya maoni.rwanda (2) Wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri zamu yao ya kupiga kura iwadie.rwanda (3) …wakisikiliza moja ya midahalo nchini humo.rwanda (4) rwanda (5) rwanda (6)Raia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa asubuhi na mapema, huku watu 6 milioni wakitarajiwa kupiga kura. Bw Kagame anatarajiwa kupiga kura katika kituo cha...

 

10 years ago

Habarileo

Marekebisho ya sheria ya ushahidi yaja

WAZIRI wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakar Khamis Bakary amesema marekebisho ya sheria ya ushahidi ya mwaka 1917 yapo katika hatua za mwisho ngazi za watendaji wakuu.

 

10 years ago

Habarileo

Marekebisho Sheria ya HESLB yaondolewa

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Margaret SittaSERIKALI imeondoa sehemu ya marekebisho ya sheria katika Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, kupinga ikidai itawanyima fursa wanafunzi kutoka familia masikini kupata mikopo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka marekebisho ya sheria sasa

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (Chadema) ameitaka Serikali kupeleka bungeni haraka sheria ya uhujumu uchumi ili ifanyiwe marekebisho ya kuongezewa nguvu.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheria 33 kufanyiwa marekebisho Bunge lijalo

Serikali inakusudia kupeleka bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria 33, baada ya kubaini kuwa zina upungufu katika matumizi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani