Kura ya maoni marekebisho ya katiba Rwanda yaanza
Raia wa Rwanda akipiga kura ya maoni.
Wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri zamu yao ya kupiga kura iwadie.
…wakisikiliza moja ya midahalo nchini humo.
Raia wa Rwanda wameanza kufika vituoni kushiriki kwenye kura ya maoni ya marekebisho ya katiba, ambayo yakiidhinishwa yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa asubuhi na mapema, huku watu 6 milioni wakitarajiwa kupiga kura. Bw Kagame anatarajiwa kupiga kura katika kituo cha...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Rwanda kupiga kura ya maoni
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi20 May
KATIBA: Kura ya Maoni hakuna-Lissu
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Wingu zito Kura ya Maoni ya Katiba
10 years ago
Habarileo23 Oct
JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
Vijimambo11 Mar
Giza totoro kura ya maoni katiba mpya.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lubuva-10March2015.jpg)
Baadhi ya wanazuoni, viongozi wa dini, wanasiasa na wanaharakati wamesema hakuna muujiza wowote unaoweza kufanyika hivi sasa kufanikisha kura ya maoni Aprili 30, mwaka huu.
Wamesema kulazimisha kura ya maoni kama ilivyotangazwa ni sawa na ‘kuchochea fujo’, jambo linaloweza kuepukika.
Wakizungumza na NIPASHE kwa nyakati tofauti jana, walisema nchi imegawanyika vipande vipande, huku wengine wakipinga mchakato wote, hivyo kulazimisha kura ni kuendelea kuligawa...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Dawa ya Katiba Mpya kura ya maoni-Membe