Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Dar es Salaam, Oktoba 16, 2014
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Miezi mitano ya sintofahamu kuhusu BVR, Kura ya Maoni

>Ilichukua miezi mitano kumaliza mvutano wa kimahesabu na maneno baina ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Serikali na wadau wa demokrasia kuhusu muda wa maandalizi na upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa ratiba rasmi ya kura za maoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa ratiba rasmi ya kuanza kwa zoezi la kupiga kura za maoni kuwachagua wana CMD walioomba kuteuliwa kuwania ubunge, nchi nzima.
Ifuatayo ni ratiba za kura hizo katika majimbo ya Tanzania Bara








 

10 years ago

GPL

NEC: KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZI KUTOFANYIKA APRILI 30

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji Mstaasfu Damiani Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa zoezi la upigaji kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa, halitafanyika kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali kufanyika Aprili 30 mwaka huu hadi hapo itakapotangazwa tena. NEC imetoa sababu kuwa, kuahirishwa kwa zoezi hilo ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KATIKA VIKAO VYAKE VYA MEI 23-24

Kiongozi wa Chama (ACT), Zitto Zuberi Kabwe. KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ilikuwa na kikao chake cha kawaida cha siku mbili kilichokaa tarehe, 23 na 24 mwezi huu na kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Anna Mghwira, pia kilihudhuriwa na kiongozi wa Chama Zitto Zuberi Kabwe. Agenda za vikao hivyo vya siku mbili zilikuwa ni Uteuzi wa nafasi mbali mbali za kiutendaji ndani ya chama Operesheni majimaji Ratiba ya Uchaguzi mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA yakutana na waandishi wa habari kuzungumzia maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya kikao maalum cha kamati kuu ya chama hicho iliyokutana jana wakati wa kujadili taarifa ya awali ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA - Bara, John Mnyika.Naibu Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA: Watanzania wako njia panda kura ya maoni

>Inashangaza sana kusema kuwa  mchakato wa Mabadiliko ya Katiba unaosubiri Kura ya Maoni miezi mitatu ijayo, umeacha mvurugano na mgawanyiko kuliko hapo awali. Muda ndiyo utakaothibitisha ukweli huu na hii haimaanishi hata kidogo kuidharau Katiba Inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani