NEC: KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZI KUTOFANYIKA APRILI 30
![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bhCKInxEXUO5R5XWnbW4X7B6UrF*URxzwwk-PWT3i7o22NL2A2EyjOWGRvdKReLOaZq6F4kkc5QcWdNGLlURb8/IMG_8983.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji Mstaasfu Damiani Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa zoezi la upigaji kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa, halitafanyika kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali kufanyika Aprili 30 mwaka huu hadi hapo itakapotangazwa tena. NEC imetoa sababu kuwa, kuahirishwa kwa zoezi hilo ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
Mwananchi02 Apr
KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai
10 years ago
Mwananchi12 Apr
MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Miezi mitano ya sintofahamu kuhusu BVR, Kura ya Maoni
10 years ago
Vijimambo05 Nov
JK: Kura ya maoni Aprili 30
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Jakaya-Kikwete-November5-2014(2).jpg)
Amesema sheria ya kura ya maoni imeainisha muda wa wadau wa katiba kutoa elimu na kufanya kampeni, hivyo akataka sheria hiyo izingatiwe na kuheshimiwa ili kuepuka ugomvi.
Rais...
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Jaji Bomani: Kura ya Maoni Aprili 30 ni muujiza
10 years ago
Mwananchi23 Oct
JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Hivi kweli bado tuko makini na kura ya maoni aprili 30?
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni