Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi kweli bado tuko makini na kura ya maoni aprili 30?

Kujikwaa siyo kuanguka, bado tunaweza kubadili mawazo kwa maslahi ya Taifa Zikiwa zimesalia siku 42 kufika tarehe 1 Machi 2015, tarehe ambayo kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Kura ya Maoni ndiyo siku ambayo Asasi za Kiraia baada ya kupewa ruhusa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi zitaanza kutoa elimu ya uraia juu ya Katiba Inayopendekezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JK: Kura ya maoni Aprili 30

Uandikishaji kuanza Januari, kampeni Machi 30Rais Jakaya Kikwete ametangaza rasmi tarehe ya upigaji kura ya maoni ya wananchi kuamua kuikubali au kuikataa katiba inayopendekezwa, kwamba litafanyika Aprili 30, mwakani, huku akisema kuwa muda wa kutoa elimu na kampeni juu ya zoezi hilo haujafika kwa mujibu wa sheria.

Amesema sheria ya kura ya maoni imeainisha muda wa wadau wa katiba kutoa elimu na kufanya kampeni, hivyo akataka sheria hiyo izingatiwe na kuheshimiwa ili kuepuka ugomvi.

Rais...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani: Kura ya Maoni Aprili 30 ni muujiza

Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani ameshauri Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iahirishwe na badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iendelee kuboresha Daftari la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015

Jaji Lubuva ashikilia msimamo, asema tarehe ya Jaji Werema haitekelezeki, asisitiza kura kupigwa baada ya uhakiki wa daftari la wapigakura

 

10 years ago

GPL

NEC: KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZI KUTOFANYIKA APRILI 30

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mh. Jaji Mstaasfu Damiani Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa zoezi la upigaji kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa, halitafanyika kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali kufanyika Aprili 30 mwaka huu hadi hapo itakapotangazwa tena. NEC imetoa sababu kuwa, kuahirishwa kwa zoezi hilo ni kutokana na kutokamilika kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata Kura ya Maoni uangaliwe kwa makini

Juzi viongozi wa vyama vya upinzani walikuwa na kikao cha pamoja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kujadili mchakato wa Kura ya Maoni, ambayo imetangazwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa itafanyika Aprili 30.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imekubali kuahirisha upigiaji Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa Daftrai la kudumu la wapiga kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR).

 

10 years ago

Mwananchi

11 years ago

BBCSwahili

Bado tuko ngangari uongozini - Libya

Serikali ya Libya imesisitiza kuwa bado imedhibiti uongozi wa nchi licha ya shambulio bungeni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani