JK amkana Werema, asema Kura ya Maoni Aprili, 2015
Jaji Lubuva ashikilia msimamo, asema tarehe ya Jaji Werema haitekelezeki, asisitiza kura kupigwa baada ya uhakiki wa daftari la wapigakura
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
JK: Kura ya Maoni Katiba Aprili 2015
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba mpya. Aliyasema hayo jana jijini hapa wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China.
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
JK, Werema watofauatiana Kura ya Maoni
SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema kunukuliwa kuwa kura ya maoni kwa ajili ya Katiba inayopendekezwa, itapigwa Machi 30 mwakani, kauli yake imesigana na...
10 years ago
Vijimambo05 Nov
JK: Kura ya maoni Aprili 30
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Jakaya-Kikwete-November5-2014(2).jpg)
Amesema sheria ya kura ya maoni imeainisha muda wa wadau wa katiba kutoa elimu na kufanya kampeni, hivyo akataka sheria hiyo izingatiwe na kuheshimiwa ili kuepuka ugomvi.
Rais...
10 years ago
Mwananchi02 Apr
Jaji Bomani: Kura ya Maoni Aprili 30 ni muujiza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bhCKInxEXUO5R5XWnbW4X7B6UrF*URxzwwk-PWT3i7o22NL2A2EyjOWGRvdKReLOaZq6F4kkc5QcWdNGLlURb8/IMG_8983.jpg?width=650)
NEC: KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZI KUTOFANYIKA APRILI 30
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Hivi kweli bado tuko makini na kura ya maoni aprili 30?
10 years ago
Mwananchi02 Apr
KATIBA MPYA: Hakuna kura ya maoni Aprili 30, uboreshaji daftari kukamilika Julai
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Kura ya Maoni Machi 30, 2015