Bado tuko ngangari uongozini - Libya
Serikali ya Libya imesisitiza kuwa bado imedhibiti uongozi wa nchi licha ya shambulio bungeni
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Hivi kweli bado tuko makini na kura ya maoni aprili 30?
11 years ago
Mwananchi11 Jul
UTEKELEZAJI: Uganda bado ‘ngangari’ dhidi ya ushoga
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Riek Machar:Sijui nitarudi lini uongozini
10 years ago
MichuziTWAWEZA: JE, TUKO SALAMA?
WANANCHI watatu kati ya kumi wameshakumbana na wizi ndani ya kipindi cha mwaka jana,na asilimia 84 ya wananchi wanaamini kuwa kuna uwezekano wa kuathiriwa na makundi ya vijana waharifu kama panya road.
Hayo yameelezwa kwenye Utafiti umefanywa na Twaweza kwenye utafiti wenye jina la Je, tuko salama? maoni ya wananchi juu ya usalama na haki waliofanya mkutano katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mtafiti wa twaweza...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
‘Tuko tayari kwenda mahabusu’
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Levelos, Ephata Nanyaro, wote wa CHADEMA, wamesema wamejiandaa kukaa mahabusu gerezani Kisongo ikiwa ni ishara ya kupinga unyanyasaji na...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Tuko Dodoma kula posho tu - Mjumbe
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Warioba ngangari
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, amesema kamwe hawezi kuacha kusimamia rasimu waliyoitoa Warioba amesema anafanya hivyo kwakuwa rasimu hiyo haikutokana na mawazo yake...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
UKAWA ngangari
LICHA ya kupigwa marufuku ya kufanya mikutano yake mkoani Kigoma, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umesema utaendelea na mikutano yake mkoani humo kama walivyopanga. Kauli hiyo ya UKAWA, inatokana...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Balozi Ufaransa: Tuko tayari kuwekeza na wazawa
SERIKALI ya Ufaranza imesema kuwa iko tayari kuwekeza kwa ubia na wafanyabiashara wa ndani ili Watanzania waweze kunufaika na rasilimali zao. Kauli hiyo ilitolewa jana na Balozi wa Ufaranza nchini,...