Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuko Dodoma kula posho tu - Mjumbe

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Alli Omari Juma amefuta matumaini ya Watanzania kuhusu kupatikana kwa Katiba mpya, badala yake akabainisha kuwa wajumbe wako Dodoma kwa ajili ya kula posho tu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe apinga posho zaidi

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ally Keissy, amewashambulia wajumbe wenzake wanaotaka kuongezewa posho kwa madai hawawaonei huruma wananchi wengi wasio na uhakika wa mlo wa siku. Alisema ni jambo...

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mjumbe Bunge Maalumu anayedai posho’

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey MwakasyukaOFISI ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, akisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapo Dodoma kuchukua posho au kuandika Katiba?

Nina wasiwasi na uwakilishi wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ninajiuliza je, wataweza kutimiza jukumu walilopewa na Watanzania na Rais Jakaya Kikwete la kusimamia mchakato wa kupata Katiba Mpya au la?

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda akitetea na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah mjini Dodoma

PG4A8718

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mjumbe wa Bunge la Katiba, Frederick Msigallah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 5, 2014. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu).

 

 

9 years ago

StarTV

Mkuu wa Mkoa Dodoma apiga marufuku Posho Za Vikao Kwa Watendaji

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Galawa amepiga marufuku ulipaji wa posho za vikao vya kazi kwa wakuu wa idara na watendaji kutokana na utendaji usioridhisha.Aidha amewataka viongozi hao kukaa mara mbili kwa wiki ofisini, siku zilizobaki zikitumika kugagua kazi zilizofanywa na walio chini yao pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Agizo hilo linatolewa katika kikao cha ufunguzi wa baraza la madiwani wa  halmashauri ya kongwa  Galawa anafikia uamuzi huo kutokana na wilaaya hiyo...

 

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

TWAWEZA: JE, TUKO SALAMA?

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
 WANANCHI watatu kati ya kumi  wameshakumbana na  wizi ndani ya kipindi cha mwaka  jana,na asilimia 84 ya wananchi  wanaamini kuwa kuna uwezekano wa kuathiriwa na makundi ya vijana waharifu kama panya road.
 Hayo yameelezwa kwenye Utafiti umefanywa na Twaweza kwenye utafiti wenye jina la Je, tuko salama? maoni ya wananchi juu ya usalama na haki waliofanya mkutano katika ukumbi wa mikutano  wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mtafiti wa twaweza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani